Kwanini UDOM haina PROSPECTUS?

Kwanini UDOM haina PROSPECTUS?

Wewe inabidi ushitakiwe kwa kutoa taarifa za uongo, unajua maana ya prospectus? uwe unauliza kwanza. Co kukurupuka
 
Aisee ningekuwa sisomi udom ningeamini hilo. Yaani prospectus za udom zimesambaa kama karanga unasema chuo hakina?
 
Mi nataka nithibitishe ubora wa course mnazosoma hapo

Uthibitishe ubora gani ukishasema chuo uchwara unathibitisha kitu gani na jibu unalo? Hata hivyo ugundue nini na tcu wameshatoa majina ukigundua ni bora then what?
 
Huyu mbuzi kweli, unajiropokea tuu, nimesoma udom na prospectus miaka yote inatolewa. Sema wakati mwingine hampati wanafunzi wote. Ila ukifatilia unapata. Afu kuweka online ni ili nini? Wewe kwa sasa tafuta student by law. Iyo hadi uingie chuoni na usajiliwe.
 
Wakuu msipanick sana,SBB ka wanajiamini na ubora wa elimu yao waiweke kwenye website kila mtu aonee
 
achen roporopo nyiee aliyekwambia ubora wa koz yako utaujua kweny prospectus ni nan??? yaaan nmeshangazwa na hzo kaul za kishoga et udom hawana prospectus wakat mm nnamiliki mbili hapa na mwaka huu ziligawiwa kma njugu vilee ni nyingi haswaa.....close yo bucket if u knw nothing abt udom u wack...online yann na vyuo vngap vmeweka prspcts online???
 
"On the start of new academic year, hz posts huwa nyng sana za kukashifu vyuo fulani". Huwa nazpotezea tu napita hivi.
 
Ukianza kubishana nao hawa BRN form 6 utajikuta unakosa kuchangia kwny majukwaa mengne ya msingi. Wataenda jionea wnyewe
 
Atakapokwenda kujua what is SUPP, CARRY OVER, INC n.k ndpo atakapoona km kuna umuhm wa hyo ONLINE PROSPECTUS anayoitaka!
 
Pamoja na kuwa na watalaam Wazuri wa mawasiliano.

Acha kukurupuka. Mpaka udahiliwe ndo utaipewa. Huo ni mwongozo wako kwa miaka yote utakapokua chuoni.
Kila mwaka unakua na toleo lake. Utaona idadi ya courses utakazosoma kuanzia first year hadi last year.
Ukitaka kuongeza una opt. Kwenye schools nyingine kwa kuziangalia ndani.
KWA TAARIFA YAKO PROSPECTOUS NI PUBLISHED DOCUMENT NA INA HAKI ZOTE IKIWEMO KUTOCHAPISHWA BILA IDHINI YA DIRECTOR OF RESEARCH AND PUBLICATION.
kwa sababu hiyo haichapishwi online hovyo hovyo.
 
Mnacho mind nn??,INA maana watalam wa IT ni wabovu chuoni??
 
Back
Top Bottom