Kwanini Uchumba Sugu unadumu kuliko Ndoa?

Si mnapretend na kuishi false/fake life,mkiingia official kwenye ndoa mnaanza kuoneshana true colors......kuna mstari mmoja wa wimbo wa Lucky Dube It's not easy ,anasema behind her beautifulness lies true colors........kausikilize 😀😀
 
Ndugu ndoa ni kwa watu wenye akili tu.
Uchumba hauhitaji akili ndio maana unadumu sana kuliko ndoa.
Halafu asili ya mwanaume ni kupay bills yaani kutoa na kuhudumia na asili ya mwanamke ni kupokea au kuhudumiwa.
Kitu ambacho vijana wengi wa kiume wa hivisasa hawawezi ile kulipa kodi, milo mitatu mezani, mavazi na mapambo ya mke na watoto, kusomesha watoto na kusaidia ndugu kwao ni mzigo mzito sana kwao wengi wamezoea kulelewa.
 
Tatizo una judge vijana wa sasa kwa vigezo vya wazazi wao na kaka zao
Kijana huyu unayemzungumzia kafika umri wa kubeba majukumu kipindi ambacho pesa imepoteza thamani (milioni moja ya mwaka 2000 ni sawa na milioni 5 ya mwaka 2025); yaani bado kwa ujira ule ule na mifumuko ya gharama za maisha anategemewa amuhudumie mwanamke kama mtoto (ingawa siku hizi wana kipato chao pia ), alipe ada, atunze wazazi wake na ahusike pia kwenye shida za ndugu wa mkewe , alipe kodi huku anajenga na ukurutu mwingine kibao
Badala ya lawama kuelekezwa kwa vijana ni bora kufanya upembuzi ya mabadiliko ya mazingira ambayo vijana hawa wanapambana
 
Nasisitiza utimamu wa akili kwasababu hata hilo suala lako la mfumuko wa bei kama wanandoa wana akili timamu ni rahisi sana kupambana na kuendana nalo lakini kama wote au mmoja wao hana akili mfumuko wa bei utapelekea kuvunjika kwa ndoa yao.
"Ndoa ni kwa watu wenye akili timamu tu"
 
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo binafsi nadhani zinachochea hali hii:

1. Mwanamke akiolewa hubweteka sana maana kashapata kichaka cha kutunza heshima yake na hivyo hata handling ya mwanaume wake inakua tofauti ; ikija kwenye uchumba sugu uhalisia tofauti, mwanamke anajiona bado yupo pending na kama uchumba ni wa miaka basi bado kuna matumaini kwamba mshkaji atajitambulisha

2. Ndoa kwa asilimia kubwa huwa inahalalisha mwanamke kumsusia mwanaume majukumu mengi na mwisho wa siku mwanaume anaanza kujiona kama punda hasahsa akipata mwanamke ambaye sio mpambanaji (chuma ulete); katika uchumba sugu mwanamke kwa asilimia kubwa anajiepusha na mentality ya aina hii maana anajua kabisa anaweza kuchokwa na akapigwa kibuti

Kuna sababu nyingine wadau mnaweza kunisaidia?
1744901223384.png
 
Hapo namba ni mbili panashangaza sana. Mwanamke anaweza kumwachia/kumtegemea mwanaume majukumu yote ya nyumbani kwa kigezo kwamba ilo ni jukumu la mume lakini cha kushangaza mwanamke uyo uyo akiachika anakua mchapa kazi na kujiita independent woman/strong woman.

Unabaki kushangaa hizi jitihada za kulipa bill zake anazozifanya akiwa mwenyewe kwanini asingezifanya ndoani kumsaidia mumewe. Inakuaje unakataa kuchangia laki moja ya kodi ya nyumba halafu unaenda kupanga nyumba ya laki mbili.!
 
Back
Top Bottom