MAREKANI jina limetokana na neno AMERICAN Sasa waswahili neno hilo kulitamka kiswahili wakaondoa hiyo A ya mbele likabaki neno MERICAN sasa kulitamka kiswahili ndio ikawa MAREKANI.Wakikujibu nitag mzee!
Niliwahi kuwauliza watu wa Baraza la Kiswahili hili swali mara MBILI tofauti, sidhani kama waliwahi kunipa jibu la kueleweka.
kuna movie nilicheki, ni ya kimexico, na katika kutamka hii 'jesus' hawakusema 'geezaz' kama ilivyo ada bali walikua wakisema 'yehsoos' ambayo kwetu ni yesu
katika baadhi ya utamkaji 'j' inakua 'y' kama 'halelujah' inakua haleluyah
Portugal kuitwa ureno je?Holland-uholanzi
Sweden ni Uswidi, Finland-Ufini, Denmark sifahamuJe Denmark au Sweeden kwa kiswahili zinaitwaje?
ipiNaona unatafuta majibu ya homework