USA kuitwa marekani huenda ni kwasababu wao hujiita American hivyo hilo jina liliposikika kwa waswahili ikawa rahisi kutamkika marekani, Misri hili jina yawezekana lina historia, ufaransa ni kama marekani tuhuenda mara ya kwanza kusikika matamshi yake yalisikika kama ufaransa..sawa kabida na german ambao wanatqmkwa kama jerumanKwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransank.
Wamarekani wanajua, ndio maana hata matangazo yao utasikia kwa msaada wa watu wa marekani na ni muhimu kwao kujuaWenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
.
si kweli...majina mengine hubadilika kutokana na rafudhi na mfumo wa lugha yao ulivyo, mfano mdogo nchi ya urusi, kwa watumiaji wa kingereza wanaitamka kama rashia, waswahili tunaiita urusi na wao waita rusia....lakini pia kuna nchi ambazo ziliingiliana muda mrefu na zikapewa majina na wenyeji yasiyoendana na nchi zao..mfano ureno ni portugue hilo jina yawezekana walipewa tu na watumia kiswahiliKwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
James - JamesMimi nadhani haya masuala ya majina huitwa kulingana na Structure, Syntax na Sematic ya lugha husika. Mfano hata majina ya watu utaona yale ya kiebrania au kiingereza yana kiswahili chake. Mfano John=Yohana, James=Yakobo, Jesus=Yesu.
Ushajiuliza kwanini Peter anaitwa Petro, Eve anaitwa Hawa, Moses anaitwa MusaKwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Nimeamini kweli Ccm imebaki na vichaa.Nimeshaelewa unapoelekea na si pengine bali STIEGLERS GORGE. BAVICHA mnaboa sasa
Sio England = UingerezaJames - James
Jacob - Yakobo
C(K)atherine - Katarina
Rachel - Raheli
America - Marekani (zamani hakukuwa na utambulisho wa USA kwa waafrika ndio maana Africa nzima tunalitumia zaidi America).
UK - Uingereza (Umoja wa Kiingereza, kutokana na walivyojitanabahisha - mapokeo)
French/France - Ufaransa (mapokeo)
kuna tofauti gani ya england, united kingdom(uk) na great britainSio England = Uingereza
kuna tofauti gani ya england, united kingdom(uk) na great britain
Kijerumani ( Deutsch );Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Kwanini Jesus anaotwa Yesu...hili yesu lilitoka wapi?
Kiswahili sio lugha ya asili. Ni zao la muunganiko wa lugha mbali mbali za kibantu, Kiarabu, Kijerumani na Kiingereza kwa uchache.Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Sio rahisi kuyajua kama hawajui Kiswahili. Kama mzungu amejifunza kiswahili, lazima atakuwa anajua kuwa America kwa Kiswahili inaitwa Marekani.wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Majina hayo yanabaki hivyo kwa kuwa yamekosa tafsiri ya lugha husika.Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.