Kwanini tuwahudumie wanawake?

Unamuongelea mke au mwanamke, maana huyo mwanamke ambaye hujamuoa upo naye kimahusiano akupikie we kama nani. Na akibeba mimba ni kwakutegesha ili aolewe sio kwakusudi la msingi. Anahudumiwa mke sio mwanamke tu. Mwanaume huwezi mzalisha binti bila ridhaa yake na mabinti mambo ya kufua na kupikia walishayakataa. Hivyo tusifanyane watumwa kwa mwanamke, wewe kama hudumia hudumia acha nijenge maisha yangu maana sijamuoa. Na wanapewaga ramani kuwa mimi sitaki mtoto kwamuda huu ila watajibebesha kwa makusudi, hivyo hivyo wale tamaa zao.
 
Una ufara mwingi, mwanaume abebe mimba anza wewe kubeba
 

Hapo sio sababu ya mada hii kuwepo cos sizan kama kuna mtu analazimishwa kumuhudumia mpenzi wake.
 
Na siku ukishindwa kumuhudumia kwa maana ya kukwama kwa ugonjwa, kufukuzwa kazi kufirisika ama kwa namna yoyote akamua kuondoka ili atafute mtu mwingine wa kuhudumia utamuita kila aina ya majina mabaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…