Kwanini tunawaoa wanawake?

Kwanini tunawaoa wanawake?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,299
Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake. Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali?
 
Sababu zipo nyingi,

Kwanza katika imani ni kuepusha zinaa na mlolongo wa watoto na koo zisizokua katika mpangilio lakin sio kila mwanamke anaamini katika kuolewa kidemokrasia wengi wanaamini kua mnaoana... so 50 ...50 kwao ni main goal.

Kijamii kwa baadh ya mila ndoa ni stara na heshima kwa mwanaume kua sasa anaweza kujenga ka community kake.
 
Sababu zipo nyingi,

kwanza katika imani ni kuepusha zinaa na mlolongo wa watoto na koo zisizokua katika mpangilio lakin sio kila mwanamke anaamini katika kuolewa kidemokrasia wengi wanaamini kua mnaoana... so 50 ...50 kwao ni main goal.

Kijamii kwa baadh ya mila ndoa ni stara na heshima kwa mwanaume kua sasa anaweza kujenga ka community kake.
Kuzaliana si tungezaa tu kwa makubaliano, mbona wengi wanazaa bila kuoana..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abel na Kaini walizalisha vip vizazi vyao?

Walichapa dada zao?
 
Sababu zipo nyingi,

kwanza katika imani ni kuepusha zinaa na mlolongo wa watoto na koo zisizokua katika mpangilio lakin sio kila mwanamke anaamini katika kuolewa kidemokrasia wengi wanaamini kua mnaoana... so 50 ...50 kwao ni main goal.

Kijamii kwa baadh ya mila ndoa ni stara na heshima kwa mwanaume kua sasa anaweza kujenga ka community kake.
Sorry, umesema tunaoana na 50 by 50 ?, sijakuelewa, naomba ufafanue zaidi, maana inawezekana huwa hatuwaelewi nyinyi mnachomaanisha.
 
ndoa ni kwa ajili ya mwanamke ndo maana wanawake wanalilia ndoa mpaka wanaenda kwa waganga.kwa mwanaume ndoa ni mzigo tu na stress ukitaka kuishi kwa stress uzeeke mapema oa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake ; Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali.
1.upate mahitaji ya kimwili kwa wote, mwanaume na mwanamke
2. kuna umri ukifika hutatamani kuviziana njiani na vitoto au kuhangaikahangaika, hutofanya uhuni. kwa sababu uhuni sio mzuri na unaweza kuambulia magonjwa
3.kuendeleza ukoo na kizazi chako.
4. kuwekeza kwa mbeleni pale nguvu zako za kutafuta zikiisha japokuwa sio lazima sana. ukizeeka watotot wanakusaidia mahitaji
5. ukiumwa na kulazwa usitegemee mama yako mzazi au dada yako kukuuguza au kukuogesha. Anayetakiwa kufanya hivyo kwa mila zetu za afrika ni mke na sio mama au dada. kama hauna mke atatafutwa kaka.
6. Ni mila na destruli kwa waafrika kuonesha sasa umekuwa na kupevuka.
7.ni furaha kuwa na familia na watoto kwani inawafanya ufurahie maisha,

zipo sababu nyingi zaenye faida nyingi.
Naomba nikuulize. Una umri gani kwa sasa?
 
Sababu zipo nyingi,

Kwanza katika imani ni kuepusha zinaa na mlolongo wa watoto na koo zisizokua katika mpangilio lakin sio kila mwanamke anaamini katika kuolewa kidemokrasia wengi wanaamini kua mnaoana... so 50 ...50 kwao ni main goal.

Kijamii kwa baadh ya mila ndoa ni stara na heshima kwa mwanaume kua sasa anaweza kujenga ka community kake.

Ndoa ni utaratibu tu wa kumtofautisha binadamu na mnyama katika kuendeleza vizazi. Wanyama ndo hawaolewi na kuoa. Mtoto anaweza mpanda mama au dada n. K

Neno kuolewa haimaanishi mwanaume ndo ana nguvu zaidi ni jina tu kama mwanaume na mwanamke. Mwanaume ndo anayeoa hakuna kitu kinaitwa kuoana, ni kuolewa na kuoa.
 
Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake. Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali?
Umri wako?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom