Kwanini tunasifu sana

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
333
Reaction score
1,261
Tupo kwenye mfumo wa maisha ambao ili upate kitu nilazima usifu, jambo linalopoteza dira na muelekeo ya maisha yetu

Tupo kwasasa kwenye dunia inayofahamika kwa uchawa, vijana mpaka wazee wanaonekana kama chawa kutokana na kusifu kila jambo hata kama halina manufaa kwa lengo la kupata chochote

Tupo kwenye dunia ya ubinafsi na ukabila kwamba watu fulani na kabila Fulani ndiyo wanastahili kupata kitu ama vitu fulani huku wengine tukionekana walala hoi

Sikatai wala kupinga kusifu ila tusifu panapostahili ili tuepuke kuonekana CHAWA

Beautiful Country
 
Hili ni tatizo kubwa Kwa Tanzania ambalo humu ninalipigia kelele mimi hiyo tabia naitambua kama ni unyumbu, (human herding) yaani mtu unaye mjua vizuri kwamba anakili ana ahirisha kufikiri Kwa nafsi a. a. k kujizima data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…