sikiliza.
"...Sie walimu wafalsafa utengeneza maswali tata wakati mwingine ili kufikirisha watu katika ukweli
Mfano :
Watu wengi uamini kwa Mungu kunamaisha mazuri kwa watenda wema,SIO?!!
Je kwanini wengi hawataki kwenda na ikitokea ndugu yao ameenda ulia kwa uchungu kama wamempoteza??
Hii Inaweza kukupa majibu kama vile:
Wengi wetu Si watenda mema na hatuamini tuaminivyo.
Sherehe za mwaka Mpya watu wameshangilia sana
Kama wamepata jambo Kubwa sana
Lakini kwa mana hiyo hapo juu.
Ilimpasa mtu kukaa chini na kulia kisha kujiuliza KIFALSAFA;
KWANINI SIKUFA HADI LEO ?!!
NA JE KAMA MDA WANGU DUNIANI NDIO UWANJA WA KUFANYA MEMA ILI NIKIENDA KWA MUNGU NIISHI PAZURI,JE KUONGEZEWA MUDA MWINGINE DUNIANI NI JAMBO LA KUSHANGILIA??!!!
BASI KAMA KWELI KUNAMAISHA KULE KWA MUNGU BAADA YA KUFA...DUNIA IMESHAMALIZA KUTUTEKA
TUNAWEZA KUNUSURIKA WACHACHE SANA...
KUBADILIKA KWA NAMBA ZA MIAKA ni jina tu lililopewa dunia ili vitu viwe na majina na Historia iweze kuandikwa...'hapa panataka elimu ya KIFALSAFA kupaelewa.
Hakuna mana nyingine kama Namba hizo zita ndelea kuongezeka na kuwa nyingi kwa MTU na anaendekea kutenda Yale Yale....."
Karibu asenga Mwaka Mpya tuselebuke
Ni Mimi
Mwalimu Mussa