Kwanini Tunapokuwa Tunachimba Dawa Safarini Hatuoneani Aibu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Naomba Kuuliza Ni Kwanini Sisi Wanadamu Tena Hapa Napenda Kusema Dada Na Mama Zetu Huwa Wamekuwa Na Tendency Ya Kuwa Na Aibu Ya KUJISITIRI Hasa Wanapokuwa Na Wanaume Ambao Siyo WAPENZI Wao Lakini Ni Watu Hao Hao Mnapokuwa Nao SAFARINI Na Ikafika Sehemu MAPORINI Huko Mnakwenda Kukojoa ( Kuchimba Dawa ) Tena MCHANA Kweupe Huwa HAWAONI AIBU au Hawatuonei AIBU Sisi Wanaume Na Wanajifunua Na Kukojoa. Tena Kuna Mmoja Jana Nikiwa Njiani Kurudi Dar Kaja Karibu Na Sehemu Mwanamume Niliyokuwa Nimesimama Nakojoa Na Yeye Kwa Haraka Haraka Akaja, Akachojoa Hadi Nikaona SHANGA Zake Akawa Anakojoa Na Ilibaki Kidogo Tu Anikojolee Kwani Ulikuwa Unaruka Sana. Na Kichekesho Zaidi Alikuwa Ni Binti Mrembo Tu Ambako Muda Wote Wakati Kainama ANAKOJOA Pale Alikuwa ANANIKODOLEA TU MACHONI Tena Bila AIBU Ila Mimi Ndiyo Nikawa Naona AIBU Na Nikaondoka Tu Pale Kurudi Garini.

Nini Inapelekea Watu KUTOONEANA AIBU Pindi Wawapo SAFARINI? Karibuni.
 
fursa hio......unatoa simu yako una record soft porn.........unamtumia nancy wa rahatupu
 
Hii story yako ya kuchimba dawa maporini mbna ni uongo. ulikua unatokea mkoa gani mnachimba dawa maporini mwaka huu 2016 kuna vituo na vyoo, hii story ungeipost 1996 tungekuamini.
 
uliposema shanga umenikumbusha mzee wa ubungo wa vyupi na shanga
 
Ushasema safarini na kuna usemi unaosema msafiri kafiri maanake hakuna aibu hapo unakula chochote kunusuru nafsi yako au unafanya vyovyote tu
 
Hakuna kitu nachopenda safarini ka wakati wa kuchimba dawa.

Nadhani ni kwa vile hatufahamiani, na unaweza msionane tena.
 
Hii kitu ni kweli mkuu! Mm huwa nategea mrembo akishuka na mm namfata aendako nikamchungulie tu alafu safari iendelee!
 
kama mwanaume umeangaliwa na kabinti bila aibu,halafu wewe uliyetakiwa kuwa jasiri umeona aibu nakushauri ukapime HORMON,hiyo ni moja ya sababu kwa wanaume wengi za kujihisi hawana nguvu za kiume,ni woga kwa wanawake.
Kabla hujatongoza ni lazima uwe jasiri na umuangalie mwanamke usoni na kwenye gem ndiyo kabisa,sasa shida ya wanaume walioziba mishipa ya dam wanaanza kuwaonea wao aibu wanawake,mwishoni kwenye mahaba wao ndiyo wanabana pua.
Mutatombwa
 
Mkuu Gentamycine umenishangaza sana leo. Yaani binti mrembo akikojoa jirani na wewe unaona aibu. Mbona hauonei aibu matusi yako ambayo uwa unayajaza kwenye threads zako?! Aaah aaah.
 
HAYO Magari Ya Huko Kijijni Kwenu Unatolea Mf. Na Ya Town To Town!!! WAPI Gari Za Mwanza, Tanga, Moro, Iringa, Mbeya Songea, Tunduma, Arusha Dom N.k .Wanaochimba Dawa Mapolini!!!?? WEE Kweli Mkilugha Wa Milima Ya Wapi!!!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom