Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Ni kwanini lile Ziwa lenye mgogoro lijukanalo Dunia nzima kama Ziwa Malawi sisi hatuliiti hivyo bali tunaliita Ziwa Nyasa? Logic ya sisi kukataa kuliita Z.Malawi iko wapi? kwa maana majina yote mawili (Ziwa Nyasa na Malawi) siyo ya kwetu!
Ikumbukwe ya kwamba nchi ya Malawi ilikuwa inaitwa Nyasa land (Ukoloni) na baada ya Uhuru ndio wakabadilisha nchi yao na kuiita Malawi hivyo kama wasingebadilisha jina ina maana mpaka leo hii Dunia ingeliita lile Ziwa Nyasa jina ambalo halina uhusiano wowote ule na sisi (TZ) kwa kifupi ni kwamba Ziwa tunalolidai hatuna hata Jina lake kwa maana Ziwa Nyasa bado inawakilisha Malawi hivyo ni sawa pia kama nchi tukiliita Ziwa Malawi badala ya Nyasa!