Mkuu watu wanaficha ushahidi wa kumtia hatiani huyu wanayemwita fisadi Lowasa ili kuogopa serikali isianguke au nchi kuigawanyika wakati huo huo wakipinga Lowasa asipewe nchi.
Yaani ni unafiki,unafiki,unafiki
Kwa kauli ya huyo huyo Mwakyembe alipokuwa akihitimisha hotuba yake kwa Bunge akiwa ni Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kushughulikia sakata la Richmond alinukuliwa akisema kuwa kama kamati yake ingeamua kuanika wazi kila ilichokiona wakati wa uchunguzi wao kungekuwa na uwezekano serikali hiyo ya CCM ingeweza kuanguka wakati huo.Mkuu watu wanaficha ushahidi wa kumtia hatiani huyu wanayemwita fisadi Lowasa ili kuogopa serikali isianguke au nchi kuigawanyika wakati huo huo wakipinga Lowasa asipewe nchi.
Yaani ni unafiki,unafiki,unafiki
Watu wanamsikiliza Dr.Slaa na uongo wake, keshadanganya mara ngapi humu jamvini na kwenye jamii?
1: alishawahi kusema kuna contena la karatasi za kura pale Tunduma na watu waliishia mpaka kuvunja contena na kulikuwa hakuna kitu
2: Alishawahi kusema Kikwete na Masha na timu yao wako laCairo hotel wanapanga mikakati, wakati JK wala hakuwa Tanzania kipindi hicho,
wakina Ritz, VUTA-NKUVUTE na timu yao ya CCM walimponda Slaa kuwa ni muongo, cha ajabu leo wote wana muona anaongea kweli
leo wacha na mimi niseme.
CCM wa leo wanampongeza Dr. Slaa kwa Misimamo isiyoyumbishwa. Karibu bwana Lizaboni unisaidie katika hili maana ndo imekuwa kauli mbiu ya chama tawala kwa sasa.
Hivi ni sahihi kusema kuwa misimamo ya Dr. kwa tangu akiwa CDM mpaka sasa ambako amestaafu bado haiyumbi yaani imesimama haswa? maana inanijia akilini msimamo mmoja wa Dr kuwa kuna mtoto wa raisi flani amekamatwa china, anayebisha ampeleke mahakamani. hivi huu msimamo pia bado hauyumbi ndani ya kauli mbio ya wazee wa chama? maana hali ya sasa imekuwa imekuwa ni ya undumilakuwili mno nchini
Unajikaza kuandika ila nafsi inakusuta

Mbona nyie mmempokea mtu alie kuwa anaongoza ccm kwa kuwapiga vita. Hivi mpaka leo hujaelewa mabomu ya arusha nani muhusika mkuu?Watu wanamsikiliza Dr.Slaa na uongo wake, keshadanganya mara ngapi humu jamvini na kwenye jamii?
1: alishawahi kusema kuna contena la karatasi za kura pale Tunduma na watu waliishia mpaka kuvunja contena na kulikuwa hakuna kitu
2: Alishawahi kusema Kikwete na Masha na timu yao wako laCairo hotel wanapanga mikakati, wakati JK wala hakuwa Tanzania kipindi hicho,
wakina Ritz, VUTA-NKUVUTE na timu yao ya CCM walimponda Slaa kuwa ni muongo, cha ajabu leo wote wana muona anaongea kweli
Watu wanamsikiliza Dr.Slaa na uongo wake, keshadanganya mara ngapi humu jamvini na kwenye jamii?
1: alishawahi kusema kuna contena la karatasi za kura pale Tunduma na watu waliishia mpaka kuvunja contena na kulikuwa hakuna kitu
2: Alishawahi kusema Kikwete na Masha na timu yao wako laCairo hotel wanapanga mikakati, wakati JK wala hakuwa Tanzania kipindi hicho,
wakina Ritz, VUTA-NKUVUTE na timu yao ya CCM walimponda Slaa kuwa ni muongo, cha ajabu leo wote wana muona anaongea kweli
leo wacha na mimi niseme.
CCM wa leo wanampongeza Dr. Slaa kwa Misimamo isiyoyumbishwa. Karibu bwana Lizaboni unisaidie katika hili maana ndo imekuwa kauli mbiu ya chama tawala kwa sasa.
Hivi ni sahihi kusema kuwa misimamo ya Dr. kwa tangu akiwa CDM mpaka sasa ambako amestaafu bado haiyumbi yaani imesimama haswa? maana inanijia akilini msimamo mmoja wa Dr kuwa kuna mtoto wa raisi flani amekamatwa china, anayebisha ampeleke mahakamani. hivi huu msimamo pia bado hauyumbi ndani ya kauli mbio ya wazee wa chama? maana hali ya sasa imekuwa imekuwa ni ya undumilakuwili mno nchini
Inanisuta kwa lipi? Dr. Mihogo katikisa nini kama mlivyodhani? Poleni sana, kila mbinu yenu inakataliwa na wananchi.