Mbona nyie mmempokea mtu alie kuwa anaongoza ccm kwa kuwapiga vita. Hivi mpaka leo hujaelewa mabomu ya arusha nani muhusika mkuu?
Mkuu walisema cdm ilijihujumu
Mbona nyie mmempokea mtu alie kuwa anaongoza ccm kwa kuwapiga vita. Hivi mpaka leo hujaelewa mabomu ya arusha nani muhusika mkuu?
Mwakyembe na slaa wapuuzwe tuh!
1:lowasa kama waziri hana kinga ya kushitakiwa kikatiba mpaka sasa haja shitakiwa kuna nini hapo? 2:mbona muda mrefu umepita hivi richmond ni ya leo ,au sheria haina meno juu ya lowasa 3:wamesema wanaushahidi kwanini dr.slaa asiwe mlaramikaji mwakyembe akawa shahidi wake waka mpeleka lowasa kisutu?
4:kwanini wamseme lowasa tu! Hao wengine vipi ? Au wao watakatifu?
5:hivi hao watu na elimu zao watueleze watanzania mahakama ni vyombo vya habari? 6:mbona escrow ya juzi hawasemi ? Na kati ya hao wawali nani mtakatifu hadi waaminiwe kiasi hicho?
#% watanzania tujitume tusiwe wavivu hata wa kufikiri %# tubadiri shina halina matunda maana walopata uhuru ni viongozi na si raia .lowaaaaasaaaaaaaaaaa
WATU WA PWANI WASEMA MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA HASIMAMI SASA TUTASIKIA MENGI KWA DR. SLAA KUENDELEA KUSEMASEMA KWAKEUmoja wa vyama vinavyounda UKAWA wameamua kumjibu Slaa huku mgombea akipewa nafasi ya kunadi ilani ya UKAWA kazi kweli kweli.Mkuu watu wanaficha ushahidi wa kumtia hatiani huyu wanayemwita fisadi Lowasa ili kuogopa serikali isianguke au nchi kuigawanyika wakati huo huo wakipinga Lowasa asipewe nchi.
Yaani ni unafiki,unafiki,unafiki