saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,284
- 6,261
Una umri gani. Shule umeenda kidogoTena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Wasukuma hamuishiwi ushamba"Nyanza" ni neno la kisukuma maana yake "ziwa"
pvitu vingapi unatumia vya wakoloni hiyo simu yenyewe unayotumia ni teknolojia ya mkoloni lini utaachana na huyo mkoloniItakuwa poa tuachane na wakoloni
Mkwa sababu na wewe umeacha jina lako na kukiita excuye...Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Tusiporudisha mambo yetu mazuri tutaendelea kuwa wafuasi wao tu.sikatai wazungu wametutawala na kwamiaka mingi wametunyonya ila sisi tumelazimishwa kimfumo kufuata zaidi utandawazi wao hivyo dunia ina uelekeo wa kizungu kuanzia miundo mbinu huduma za kijamii makazi na vyanzo vya kujiingizia kipato vyote walianzisha wao hivyo itatuchukua muda mrefu na resource nyingi ili tuseme tunajitegemea hata kama tulikua na mambo yetu ya kiafrika ila yamezikwa ili waweze kututawala na kuweka order zao duniani
Nyanza ni neno la kisukuma lenye maana ya ziwa, hata lake Tanganyika kwa kisukuma tunaita nyanza pia.Nahisi originally jina lake ni Nyanza
Jina la kujipa mwenyewe sio sawa na lile ambalo rasilimali yako ya kudumu inapewa na mtu aliyeua mababu zako.Majina yenu ya asili tu hamuyataki mnajiita ya kizungu sijui john, Peter carleen, Elizabeth, Nancy tena mzazi utasikia ana taka jina zuri la mtoto kwake jina kabula, havijawa, andunje, karumekenge, Jango ambayo ndio majina halisi ya kiafrika ni mabaya. Tena wanasema yana mikosi kwa hiyo hata hilo ziwa msilipe jina la asili lenye mikosi kama nyie mnavyokataa kuwapa watoto wenu majina ya asili mmeng'ang'ania majina ya kizungu
kumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshikoJiongeze kifikra. Unaita rasilimali zako jina la mtesi wako?
Miaka ya '70 ilijaribiwa kuitwa Ziwa Nyanza.Hilo ziwa limamilikiwa na nchi 3 sidhani kama Kenya na Uganda watakubali hilo jina unalosema la asili. Yatakuwa yale yale ya ziwa nyasa dunia nzima inaliita Lake Malawi hadi ramani za Google zinaonesha hivyo ila sisi tunaita ziwa nyasa
Basi zamani Mwanza iliitwa Nyanza,naskia hata hilo ziwaNyanza ni neno la kisukuma lenye maana ya ziwa, hata lake Tanganyika kwa kisukuma tunaita nyanza pia.
Wanasema moja kati ya legacy ya yule malkia ni hilo ziwa. Yaani mababu zetu walikuwa hapo wakifanya shughuli zao miaka na miaka halafu eti limekuwa legacy ya mwanamke mmoja aliyewaua mababu zetu.kumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshiko
Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri hata M7 alishawahi sema hiliTena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Kwa nini wewe umekubali kuitwa John?Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?