Kwanini tuliyakimbia mavazi haya..

Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
1,359
Points
2,000
Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2019
1,359 2,000
Mko poa

Wakuu kwanini wanaume tulilikimbia hili vazi

Unakumbuka usumbufu au changamoto yoyote ya hili vazi..?

Pia knadada underwear(anda) mlikimbia nn hapa kwann msilivae kwenye madera yenu mfiche chupi hizo.. Nakumbuka mlikuwa makini kuhakksha anda haichungulii chin ya sketi

Ya kale dhahabu turudiie mavazi yetu pendwa

Au ndo hii nahau ilikosewa!!?
kzkhafh40inr5ucvjomq0qie0cidpgr86kclgoxrecb6tg8vz6vzpn-bu8apnjus0z1a9eqj1nlczsayn85qaslaihrxj-jpeg.1122150
images-43-jpeg.1122151
 
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
2,138
Points
2,000
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
2,138 2,000
Mko poa

Wakuu kwanini wanaume tulilikimbia hili vazi

Unakumbuka usumbufu au changamoto yoyote ya hili vazi..?

Pia knadada underwear(anda) mlikimbia nn hapa kwann msilivae kwenye madera yenu mfiche chupi hizo.. Nakumbuka mlikuwa makini kuhakksha anda haichungulii chin ya sketi

Ya kale dhahabu turudiie mavazi yetu pendwa

Au ndo hii nahau ilikosewa!!?
View attachment 1122150View attachment 1122151
akisema (anda) hakumaanisha underwear ni underskirt, underwear ni kyupi.
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
13,344
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
13,344 2,000
Wachina, wahindi na Waasia wengine na hata idadi kubwa ya wazungu wanaume wapo wanaovaa chupi bado.
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,924
Points
2,000
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,924 2,000
Wengine Tuna Madushe Makubwa Hiyo chupi haifai dushe litachungulia bora boksa. Kwa Wale Wa Underskirt Taiti Imechukua Nafasi Na Unakuwa Huru Zaidi, Haichungulii Kama Underskirt. Kuvaa Underskirt Wakati Taiti Ipo Ni Ushamba. By The Way hii ni mitindo mipya ya mavazi ya siri (faragha)
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,912
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,912 2,000
Ninavaa chupi kwa raha zangu. Maisha ya kasumba sijawahi kuishi, boxer pekee nayotumia ni BM 150

1560036449787-png.1122167
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,926
Points
2,000
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,926 2,000
Umejuaje kama wanaume hawavaichupi mkuu,kwa wanawake kutovaa underskrt nakuelewa,ila wanaume mmh
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
30,109
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
30,109 2,000
Yategemea Ntu na Ntu kwani kwa upande wa Ke kuna wale wanaopenda wakitembea wawe wanavunja shingo za watu
hivyo lazima wasivae hizo Underskirt.

Ila wale waliokulia kwa kujizowesha kuvaa hivi wengi hawajaacha bado labda wale wapenda mambo ya kuiga hasa huku mijini na ndio sababu ukienda madukani bado zipo tofauti na hizo Pichu za Me.
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,636
Points
2,000
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,636 2,000
ukivaa kyupi..dushe linapinda
 
Old story

Old story

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
1,912
Points
2,000
Old story

Old story

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
1,912 2,000
Chupi bhna ni shida umekaa na mma mkwe wako kibarazan anapit mdada mwenye shep athuman anasimma ndan ya chupi na gafla unatakiwa uende ndani hapo ndo shughul inaanza
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
16,067
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
16,067 2,000
Wachina, wahindi na Waasia wengine na hata idadi kubwa ya wazungu wanaume wapo wanaovaa chupi bado.
Na wanaume wenye dudu kubwa huvaa chupi ili lijifyate vizuri.wanaume Wenye kibamia hawavai chupi
 

Forum statistics

Threads 1,307,092
Members 502,332
Posts 31,601,348
Top