kosa moja halihalalishi kosa lingine.Wakati kuna pesa kubwa zaidi zimeibiwa?
Au mshasahau zile TRILIONI 3 za JWTZ? Mbona hakuna anayeuliza au kupiga kelele kuhusu wizi wa SYMBION, BOMBA LA GESI MTWARA, UPANUZI WA BANDARI etc?
Au ndio double standards?
Nchi hii haina collective responsibility na sidhani kama kuna mtu atawajibishwa au atawajibika so lets stop hii charade ya kitoto wakati tunajua mkuu wa nchi hawezi na hananubavu wa kumwadhibisha mtu wakato.kabakisha kiezi 12 aende kupumzika na kufuga ngombe zake kule Yamousskuro
Mbunge gani wa UKAWA zaidi ya Kafulila alilivalia njuga? Au unajisahaulisha kuwa kuna mada humu ilikuwa ikihoji kwa nini CHADEMA hawaongelei Escrow? Escrow imebebewa bango na Kafulila, ZITTO na Wabunge wa CCM
Wakati kuna pesa kubwa zaidi zimeibiwa?
Au mshasahau zile TRILIONI 3 za JWTZ? Mbona hakuna anayeuliza au kupiga kelele kuhusu wizi wa SYMBION, BOMBA LA GESI MTWARA, UPANUZI WA BANDARI etc?
Au ndio double standards?
Nchi hii haina collective responsibility na sidhani kama kuna mtu atawajibishwa au atawajibika so lets stop hii charade ya kitoto wakati tunajua mkuu wa nchi hawezi na hananubavu wa kumwadhibisha mtu wakato.kabakisha kiezi 12 aende kupumzika na kufuga ngombe zake kule Yamousskuro
Wakati kuna pesa kubwa zaidi zimeibiwa?
Au mshasahau zile TRILIONI 3 za JWTZ? Mbona hakuna anayeuliza au kupiga kelele kuhusu wizi wa SYMBION, BOMBA LA GESI MTWARA, UPANUZI WA BANDARI etc?
Au ndio double standards?
Nchi hii haina collective responsibility na sidhani kama kuna mtu atawajibishwa au atawajibika so lets stop hii charade ya kitoto wakati tunajua mkuu wa nchi hawezi na hananubavu wa kumwadhibisha mtu wakato.kabakisha kiezi 12 aende kupumzika na kufuga ngombe zake kule Yamousskuro
Ina maana wakati Joshua Nassari, aliposimama pale bungeni wiki iliyopita kulikomalia suala la Escrow account, wewe ulipigwa upofu wa muda?Mbunge gani wa UKAWA zaidi ya Kafulila alilivalia njuga? Au unajisahaulisha kuwa kuna mada humu ilikuwa ikihoji kwa nini CHADEMA hawaongelei Escrow? Escrow imebebewa bango na Kafulila, ZITTO na Wabunge wa CCM