Ping haitakiwi kua kubwa, inatakiwa iwe ndogo, ping maana yake umetuma request (packet) ikaleta response ndani ya muda flani, kwa hiyo kama imeleta response ndani ya milliseconda chache maana yake iko fast.
Kama umesema ukitest unaona 25MBPs tatizo linaweza lisiwe internet yako, ku~livestream inategemea na server inayostream, ikiwa over~loaded na watu kibao at the same time ni obvious kua itakua slow maana inashindwa kuwa~serve wote kwa wakati moja, test nzuri nashauri tumia Youtube kutest, kama unaweza kuona video ya high quality bila shida then your internet is just fine.
Asante kiongozi
ila kama issue ni server, mbona kwa voda inakua nafuu kidogo kuliko TTCL?
Ni wakati huohuo? au unabadilisha kuweka voda baada ya masaa kadhaa ambapo unakuta server ipo na concurrent users wachache? maana 25MBPs siamini kama inaweza kucheza livestream kwa kukwamakwama unless ni streaming ya QHD au 4K kitu ambacho hakipo coz livestream services nyingi hadi leo hii zinastream in 720p, chache sana zinaenda hadi 1080p.
voda nimetest kama week iliopita mahala kwangu wana ping 18ms kwa sasa ndio wakali wa ping mitandao yote wapo vizuri kuliko halotel. kwenye streaming ping ni muhimu zaidi pima speed ya voda kwako uangalie ping yake.
Euro nimecheki na Voda mechi almost zote za makundi na haikunisumbua
ni gpu ya laptop yako mkuu unapoconect laptop inakuwa inadrive display mbili hivyo kuzidiwa.sawa kiongozi
nitajaribu nikifika home.
kingine, mbona nikitumia laptop kidogo inakua stable, ila nikiconnect hiyo laptop kwenye screen ndo hali inakua hovyo kabisa.
Kweli kabisa ata mm nilikua nacheki Euro kwa kutumia Voda hasa game za usiku sa 4 vzr kabisa 90min, Halotel nilikua nachek game za sa 10 mchana na za sa moja usiku lkn za sa 4 usiku halotel ilikua inagomagoma sana.voda nimetest kama week iliopita mahala kwangu wana ping 18ms kwa sasa ndio wakali wa ping mitandao yote wapo vizuri kuliko halotel. kwenye streaming ping ni muhimu zaidi pima speed ya voda kwako uangalie ping yake.
Euro nimecheki na Voda mechi almost zote za makundi na haikunisumbua
solution ya muda mfupi ukiconect na tv switch off display moja yaani ya laptop halafu uache tv peke yake. kufanya hivi itabidi uende display setting. nenda desktop halafu right click halafu chagua display setting ikifunguka utaweza chagua either utumie display zote mbili au uchague moja tu. hakikisha ukifanya hivyo tv na laptop zote zipo on na umeconect na hdmi sababu tv ikiwa off haitatokea kwenye display setting.natumia window 8
solution ya muda mfupi ukiconect na tv switch off display moja yaani ya laptop halafu uache tv peke yake. kufanya hivi itabidi uende display setting. nenda desktop halafu right click halafu chagua display setting ikifunguka utaweza chagua either utumie display zote mbili au uchague moja tu. hakikisha ukifanya hivyo tv na laptop zote zipo on na umeconect na hdmi sababu tv ikiwa off haitatokea kwenye display setting.
permanent solution nitajie vitu hivi
1. resolution ya tv- angalia mbele ya tv au kwenye box kama kuna maneno kama HD ready, Full HD, UHD etc au 720p, 1080p, 4k etc
2. specs za laptop hasa hasa processor na gpu, nenda my computer halafu right click then properties utaona aina ya processor. pia kama ina gpu kama nvidia au Amd/ati niambie

mkuu ni laptop za zamani hizo, gpu yake ni weak hivyo hakikisha unatumia display moja usizieke zote mbili.sorry kiongozi
laptop inatumia window 7 proffessional
processor. intel R core TM(2 Duo CPU T9600 @2.8 GHz
RAM 2GB
Hili ni kweli kbs, kwa muda nimekuwa natumia Halotel for football live streaming, ila kuna wakati, video ina kwamakwama sana, nimerudi Voda, ipo very smooth, video kiwango. Mechi za UEFA na EURO nimetumia Voda.voda nimetest kama week iliopita mahala kwangu wana ping 18ms kwa sasa ndio wakali wa ping mitandao yote wapo vizuri kuliko halotel. kwenye streaming ping ni muhimu zaidi pima speed ya voda kwako uangalie ping yake.
Euro nimecheki na Voda mechi almost zote za makundi na haikunisumbua
25Mbps unapata Buffering?
Siwezi amini hata Ping iwe kubwa ki vipi hivi vitu vinategemeana sana
kama una Ping kubwa basi download speed nayo iwe njema!
i can do Live streams na connection ya 300ms ping tena bila buffering!
kutakua na more explanations hapo na si swala la Ping vs Download speed