kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,132
- 24,438
Hawa jamaa hawabadiliki kabisa, hawana maboresho ya vifurushi kabisa vya intanet kama wanavyofanya wenzao
Wanawauzia wateja GB 2 kwa Tsh 5000 halafu ni shirika la umma, halafu linaongozwa kwa kodi zetu.
Samia yupo kimya, wizara ya mawasiliano kimya, mkurugenzi wa TTCL alipaswa kuwa jela na watendaji wakuu wote.
Wanatumiwa kulihujumu shirika. Imagine wametumia mabilioni kusambaza nyaya za manguzo nchi nzima kipindi cha Magufuli
Halafu sasa hivi wanaleta mzaha, na hapo zilitumika kodi za wananchi, kibaya zaidi wana kila kitu hawa jamaa wana ofisi minara na kila kitu halafu kwa TZ wanapatikana kwa asilimia 90 hadi vijijini lakini hawajipromote wala nini yaani majitu yamekaa tu ofisini.
Kwanini kipindi cha JPM walifanikiwa kuteka soko na kurudi juu na kuanza kukua tena why sio kwa sasa.
Huenda rais ndio analiua hili shirika kwa maksudi kwasababu rafiki yake Rostam anamiliki tigo na Airtel
Hii nchi ina laana.