Kwanini TRA hawana jengo la maana?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,186
79,386
Naomba kuuliza, Tanzania Revenue Authority ikiwa kama chombo mhimili wa serikali katika kukusanya mapato ya nchi hii ni kwanini hawana ofisi za maana yaani jengo lenye kuendana na hadhi yao?
 
Mkuu, unataka jengo gani! Mbona wana majengo mazuri tu Makao makuu pale Sokoine drive, kuna majengo mawili.
Pale Samora wana jengo moja zuri, Lumumba pale mnazi mmoja wana ofisi nzuri tu.
Mimi nadhani jengo sio utendaji wa kazi, unaweza kuwa na jengo kubwa lakini hamna kitu.
Mfano jengo letu la Bunge Dodoma ni zuri tena la kisasa kabisa lakini kuna nini cha maana, halafu angalia jengo la Bunge la Ungereza ni dugo sana, Wabunge wanakaa kwa kubanana lakini angalia kazi zao na sisi Tanzania wabunge kazi kusinzia tu
 
bwana bwana tuwe wakweli hadhi ya majengo yote ya TRA hayaridhishi! hayako sophisticated enough ukizingatia umuhimu wa ofisi hii! yaani hayazingatii concept ya e-governance nathani unanielewa ninachomaanisha hapa..na hata design ya majengo yenyewe iko awful
 
mkuu wacha wa2mie hayo hayo mana wakileta proposal ya kujenga ka yale pacha ya BOT watu watakua wameshajitaftia ulaji
 
Majengo yao mabaya lakini wanaingizia serikali Bilioni 400 kwa mwenzi na yatazidi,Majengo so utendaji kazi
 
bwana bwana tuwe wakweli hadhi ya majengo yote ya TRA hayaridhishi! hayako sophisticated enough ukizingatia umuhimu wa ofisi hii! yaani hayazingatii concept ya e-governance nathani unanielewa ninachomaanisha hapa..na hata design ya majengo yenyewe iko awful

Sophistication ya jengo ina uhusiano gani na kazi ifanyazo taasisi, vinginevyo tungekuwa na a very "sophisticated state house" if that is the case.

Pia e-governance in uhusiano gani na uzuri au ubaya wa jengo? labda huelewi maana ya e-governance.
 
Back
Top Bottom