Ligi haijaanza tayari Karia na TFF wameshaanza kulalamikiwa!... Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.
Hii aibu huwezi kuificha kwa aina hiyo. Gomez kibarua Simba kimeishia hapo kwa aibu na hatapenda kuwa kwenye benchi. Prof Nabi Yuko tayari kumfundisha hadi afuzu.Nikuulize haya maswali..!!
Msimu uliopita Gomez alikaa benchi wakati timu ya Simba inafika robo fainali ya CAF?...
hujui lolote, kocha mwenye uefa A anaruhusiwa kufundisha under 18 or temam B or kocha msaidizi na sio huo upupu ulouandika.Hapana gomez ba matola sio vihiyo,gomezi ana diploma ya euro,ambayo ni kubwa tu but kwakuwa ni mtu kutoka nchi za ulaya anatakiwa kuwa na euro pro,na matola ana caf b kwakuwa anatoka africa anatakiwa awe na caf a
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Zamani mtu aliemaliza darasa la saba aliweza kusomea kozi ya ualimu Na kupewa cheti Cha ualimu Na kuwa mwalimu kamili lakini Kwa sasa ili uwe mwalimu angalau ufaulu kidato Cha nne wa darasa la saba anatakiwa asome tu lakini bado ni mwalimu ndio kilichotokea Kwa Gomes Na MatolaGomez na diploma yake anakusanya vikombe tuu, nyie na profesa wenu mshaanza kulialia hata kabla ligi haijaanza.
Unapoamua kufuata moyo wako,hakikisha unaenda na ubongo wako! Kuna kipindi madereva wa umma wote walitakiwa wawe na chet toka NIT japo walishakuwa madereva wa muda mrefu na uzoef wanao,ndio kilichomtokea Gomez ni kubadilika kwa kanuni tu sio kwamba hana sifa! Huyo Nab alikuwepo kigoma wakati Gomez akiongoza kipondo,Narudia " unapoamua kufuata moyo wako hakikisha unakwenda na ubongo wako"Hii aibu huwezi kuificha kwa aina hiyo. Gomez kibarua Simba kimeishia hapo kwa aibu na hatapenda kuwa kwenye benchi. Prof Nabi Yuko tayari kumfundisha hadi afuzu.
Kwanini TFF? TFF inaingia hapa kwa kuruhusu makocha wa kigeni wenye sifa hafifu kufanyakazi Tanzania hasa kwenye timu kubwa ambazo zinatoa wachezaji wa timu ya taifa. Wachezaji wetu wa taifa stars wanategemea kupata mbinu na uwezo wa mpira kutoka kwenye club zao, hivyo inakuwa garbage in garbage out.
Ona Prof. Nabi alivyombadilisha na kuformat kichwa na uwezo wa Fei Toto hadi akawa msaada kwa timu ya taifa. Gomez anapata matokeo kwa kutumia coincidence ya wachezaji kukaa pamoja kwa muda mrefu, wachezaji kupata mbinu kutoka kwa Sven na ausseum, mo kuleta wachezaji wazuri na TFF kuwa nyuma ya Simba. Gomez ana fluke TU kupata matokeo
Eti ni kweli huyo kocha wenu Gomez na mwenzake Matola watakaa kwenye benchi la ufundi kama Makocha wasaidizi baada kumsajili huyu Mwalimu wenu mpya ili tu kuondokana na fedheha?nendeni cas mkakate rufaa Simba ilichukua ubingwa ikiwa na makocha vihiyo, akili zako zimeshikwa na Manara