Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Na hii ndiyo kosa la Polisi DCI pamoja na Mwigulu Nchemba mwenyewe ndiyo maana chadema wanajidai lakini iko siku inakujaUtaahira mwisho geti la Lumumba.
Tangu Mwigulu aanze kukitembeza hicho kinyago chake hadi leo ni waziri wa mambo ya ndani anashindwa nini kuwakamata hao wahuni, msitufanye wote mataahira kama nyie.