LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,739
- 13,999
Kila kona ambapo Mwigulu amekiwa akienda huyu kijana wa Igunga aliyemwagiwa tindikali yupo nae..Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini anamtumia huyu jamaa, mbona zamani hatukuwahi kumsikia mpaka baada ya kumwagiwa tindikali? Ana uhakika gani kuwa ni Chadema ndio walimwagia hiyo tindikali? Mbona kuna watu kibao tu wana matatizo zaid ya jamaa na hatuhawahi kusikia wakitembezwa nao majukwaani..?
Tatizo la huyu jamaa haelewi kuwa anatumiwa tu, na ipo siku tu umuhimu wake utaisha na atatupwa jalalani..Ambacho kinazunguka katika kichwa changu ni kuwa Mwigulu anacheza mchezo mchafu sana hapa na ni kama ndio kaishika sasa hv magamba..
Picha lipo hivi, Mwigulu alitafuta vijana wa kumfanyia umafia jamaa, kwa kumwagia tindikali alaf ionekane ni Chadema..Alafu baadae hao hao Magamba wakakubaliana na jamaa watampeleka nje kupata matibabu lakini akirudi atazungushwa kusema kuwa chadema ndio walimfanyia hivyo..Maana jamaa alikuwa hana msaada wowote ilibidi akubaliane nao, na ndicho anafanya sasa..
Huyu Mwigulu ni mtu hatari sana, na ipo siku yake itafika, anadhani Mungu hamuoni anayoyafanya...
Wote wawoli ni mavuvuzela hawana jipya zaidi ya siasa za majitaka