Kwanini Tendwa hajasema chochote juu ya Brigade ya CHADEMA

Kuna nini hapa hadi Bwana Tendwa kukaa kimya juu ya Brigade ya Chadema?

1. Je kwa kuwa CCM wameshikwa pabaya kwa kuwa nao wanayo

2. Au kwa kuwa kasaini katiba ya chama bila kusoma?

Hana la kusema hapo,tena nnamshauri akae kimya kama sio yeye vile.
 
Kuna nini hapa hadi Bwana Tendwa kukaa kimya juu ya Brigade ya Chadema?

1. Je kwa kuwa CCM wameshikwa pabaya kwa kuwa nao wanayo

2. Au kwa kuwa kasaini katiba ya chama bila kusoma?

Mi naona bado ccm hawajamwambia cha kuropoka, subiri machemba arudi mtasikia
 
Kuna nini hapa hadi Bwana Tendwa kukaa kimya juu ya Brigade ya Chadema?

1. Je kwa kuwa CCM wameshikwa pabaya kwa kuwa nao wanayo

2. Au kwa kuwa kasaini katiba ya chama bila kusoma?

mkuu anatafuta pa kutokea kwahili kila mmoja ataongea atakama ni pumba
 
Back
Top Bottom