Suala si Tendwa kuiogopa CCJ wala CCJ kushindwa chochote. Kikwazo ni uongozi wa CCM unaogopa na hautaki ushindani utakaohatarisha ushindi katika uchaguzi ujao. Ni dhahiri Tendwa anapata maelekezo kutoka juu ahakikishe kwamba CCJ kinakwamishwa. Nyuma ya pazia kuna mengii.

Mh! Hivi huu mjadala wa Tendwa na CCJ bado haujaisha tu!
Kuna maswali mengine ndugu zangu yanaumiza kichwa na yanaongeza stress.
Hasa hili la Tendwa na CCJ.
Kwanini wasikalishwe kitimoto wajieleze mbele ya waandishi wa habari?
Hivi hatuwezi kutafuta wadhamini, tuwaweke kati hawa wawili wananchi waujue ukweli?
Ningekuwa mwandishi wa habari ningewaweka kati halafu nainadi ile mbaya debate yangu.