chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,728
- Thread starter
- #41
Hata kwenye hizo video,katikati ya motor na genereta Kuna flywheel,ambalo mwanzoni,motor inawashwa kwa betri,(chemical energy to electrical energy)motor ikiwaka,inazungusha flywheel,flywheel,litazungusha genereta(mechanical to electrical).baada ya muda,betri inachomolewa,na motor inaungwa kwenye genereta.
Utaona kuanzia mwanzo,lazima,kuwe na mabadiriko,ya nishati,kutoka,aina moja,kwenda nyingine
Zipo video nyingi sio tu bettry hata ukazungusha kwa mkono mwanzoni.baadae ikaanza kuzunguka endelea kutafuta