Kuna jamaa moja alisema eti ili maji ya mabwawa kama kidatu yasiishe, kuwa na pump kubwa ambayo itakuwa inayarudisha bwawani hivyo kuna na endless cycle ya kutoa umemeYani ni sawa na kuweka battery ya sola uweke inveta ikuze umeme uangalie tv na vitu vingne kisha pale pale uweke charger iweze kuchaji ile battery umeme kutoka kwenye inveta ..ukitegemea cycle itaendelea na umeme hutoishA