Kwanini teknolojia ambazo si biashara hupingwa mfano wa umeme unaojizalisha wenyewe bila kutumia nishati yoyote tunazo zifahamu

Hata kwenye hizo video,katikati ya motor na genereta Kuna flywheel,ambalo mwanzoni,motor inawashwa kwa betri,(chemical energy to electrical energy)motor ikiwaka,inazungusha flywheel,flywheel,litazungusha genereta(mechanical to electrical).baada ya muda,betri inachomolewa,na motor inaungwa kwenye genereta.
Utaona kuanzia mwanzo,lazima,kuwe na mabadiriko,ya nishati,kutoka,aina moja,kwenda nyingine

Zipo video nyingi sio tu bettry hata ukazungusha kwa mkono mwanzoni.baadae ikaanza kuzunguka endelea kutafuta
 
Hata kwenye hizo video,katikati ya motor na genereta Kuna flywheel,ambalo mwanzoni,motor inawashwa kwa betri,(chemical energy to electrical energy)motor ikiwaka,inazungusha flywheel,flywheel,litazungusha genereta(mechanical to electrical).baada ya muda,betri inachomolewa,na motor inaungwa kwenye genereta.
Utaona kuanzia mwanzo,lazima,kuwe na mabadiriko,ya nishati,kutoka,aina moja,kwenda nyingine
Unaweza ukawa unamuelewesha mtu lakini jina linareflect reality yake ona chizcom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hizi clickbaits za youtube.
Hao wanatafuta viewers tu.
ukiona video yoyote imeandikwa free energy blah blah skip

Yani hizo video za youtube ndio unakuja kufungulia uzi tena umekaza kabisa unaelekezwa bado unaleta mapicha picha.

No machine can create energy out of nothing.

Maneno utaki,ushaidi utaki,picha utaki.ok tubaki kimya ndio yo tunaweza.
Kuanza kuijua hii ni kutana nazo nilipo kuwa nje .na watu wengi wanazitumia kwa mambo yao.
Basi tumefunga mjadala
 
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Ili hii kitu ifanye kazi lazima kuwe na chanzo kingine Cha umeme kitumike Kama starter ya motor,
Unawasha motor iliyokuwa couple na hiyo motor(generator), shaft likiattain speed ya kutosha motor(generator) inatoa umeme,unauunganisha kwenye motor ya mwanzo kureplace ile supply ya mwanzo
 
Mimi sijasoma haya mambo ya physically ila naujua umeme,, kwa hilo mbona linawezekana,,
Umeme ukajizalisha wenyewe inawezekana vizuri,,,
Ila sasa ukikutwa na wenyewe,,maana hapa duniani kila kitu business
 
Ili hii kitu ifanye kazi lazima kuwe na chanzo kingine Cha umeme kitumike Kama starter ya motor,
Unawasha motor iliyokuwa couple na hiyo motor(generator), shaft likiattain speed ya kutosha motor(generator) inatoa umeme,unauunganisha kwenye motor ya mwanzo kureplace ile supply ya mwanzo

Watu ni wabishi sana.hizi project nimekutana nazo kwa macho yangu.lakini ubishi ulipo bila kufatilia
 
Hata kwenye hizo video,katikati ya motor na genereta Kuna flywheel,ambalo mwanzoni,motor inawashwa kwa betri,(chemical energy to electrical energy)motor ikiwaka,inazungusha flywheel,flywheel,litazungusha genereta(mechanical to electrical).baada ya muda,betri inachomolewa,na motor inaungwa kwenye genereta.
Utaona kuanzia mwanzo,lazima,kuwe na mabadiriko,ya nishati,kutoka,aina moja,kwenda nyingine
Kuna namna ya kuzungusha mota kwa mkono alafu mota hiyo inazungusha mota nyingine alafu hiyo mota nyingine inazalisha chaji kwa ajili ya kuendesha ile mota ya kwanza ambapo utakuwa umekamilisha kuzalisha umeme usiotegemea chanzo cha umeme huu wa tanesco, zola, au umeme mwingine wowote wa gharama.

Haya mambo yapo
 
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Hongera kuu kwa udadisi mzuri. Ila kifizikia hili wazo lako halina tija kabisa

Sheria za asili za energy ni kwamba, nguvu kazi haiwezi kuzalishwa (created) au kuharibiwa (destroyed) but can be converted from one form to another. Kila mara tunainadili hii mada, hakikisha hili liko kichwani kwako.

Nikija kwenye concept yako. Kutumia mfumo wa motor mbili. Mota A inayohitaji volts 150 izungushe motor B ambayo itazalisha volts 500 za umeme. Kati ya volts 500 zitakazo zalishwa na mota B, volts 150 zirudi kwenye motor A ili iendelee kuzungusha motor B na kutumia voltage za ziada kwenye matumizi. Ni ka idea kazuri theoretically ila practically is next to impossible.

Ili niweke mwongozo sawa, tutumie kipimo cha horse power katika kuelezea kwanini hii concept haiwezekaniki.

Ili upate excess energy katika hili, motor A inabidi iwe na horsepower ndogo kuliko motor B. lets say motor A ina 2hp. Motor hii itumike kuzungusha motor B ya Horse power 3.. ili hii ya horse power tatu izalishe umeme kurun motor A yenye horse power ndogo. Na kupata energy ya ziada kwaajili ya matumizi.

Kwanini hili haliwezekani.
Nguvu itakayohitajika na motor A yenye horse power 2, itakuwa pungufu kuweza kuizungusha mota ya 3hp kwa ufanisi. Hii peke yake itachangia kukwamisha zoezi lako.

Maana voltage sio kipimo sahihi cha energy katika muktadha huu. Vifaa viwili vinaweza kuwa na matumizi sawa ya voltage ila matumizi yake na umeme ni tofauti.

Mfano jiko la umeme na TV. Zote zinatumia 240v ila demand yake ta power ni tofauti. Na hii ndio maana ka generator ka horse power 1 na kanazalisha 240v, katafanya vizuri kuendesha mashine za saloon, ila ikiiunganisha umeme wake uzungushe pampu ya maji ya Hp 2. Hutamaliza dakika kwendankuuta generator imeungua. Kwaiyo tusitumie Voltage, hii itatumiss lead

Swala la pili la msingi. Naona mtoa mada umeassume kana kwamba kifaa ulichobuni kiko 100% efficient. Which is not correct.

Kuna kiasi kikubwa cha nguvu kitapotea katika mfumo wa msuguano wakati motor hizi zinazunguka. Kuna kiasi cha nguvu kitapotea katika mfumo wa joto. Kuna kiasi cha umeme kitapotea kutokana na resistance kwenye nyaya za umeme. Kwaiyo mwisho wa siku hii concept ya self generating electricity inafia hewani.
 
Engine inatumia mafuta lakini mathematical na teknolojia iliyo tumika inaweza kuvuta kitu chochote

Kwanza kwenye mifumo kutakuwa na voltage regulator
Kama unavo tumia vifaa vya solar.
Mekaniko iliyo tumia watu wanaangalia hapo hapo ukifata kiundani lazima upate nilicho kitaja ili kucontrol umeme uweze kugawa utakao takiwa kwenda kwenye motor A
image-2020-12-14-2:07:53-951 PM.jpg
 
Engine inatumia mafuta lakini mathematical na teknolojia iliyo tumika inaweza kuvuta kitu chochote

Kwanza kwenye mifumo kutakuwa na voltage regulator
Kama unavo tumia vifaa vya solar.
Mekaniko iliyo tumia watu wanaangalia hapo hapo ukifata kiundani lazima upate nilicho kitaja ili kucontrol umeme uweze kugawa utakao takiwa kwenda kwenye motor A
View attachment 1649798
Boss...usichukulie poa energy content iliyopo katika kila tone la mafuta aisee....ndo maana yakaitwa mafuta. Na kwenye mafuta kuna mafuta ya taa, petrol, diesel mafuta ya ndege etc. Ina zote hizi zina content tofauti sana za energy ndani yake. Mafuta sio maji.

Bomu linaweza likawa dogo kama kiazi, na likawa na nguvu kubwa ya mlipuko kuangusha jengo. Hoja ni energy iliyokuwa stored humu katika form ya chemical energy ina uwezo wa kufanya makubwa.
 
Boss...usichukulie poa energy content iliyopo katika kila tone la mafuta aisee....ndo maana yakaitwa mafuta. Na kwenye mafuta kuna mafuta ya taa, petrol, diesel mafuta ya ndege etc. Ina zote hizi zina content tofauti sana za energy ndani yake. Mafuta sio maji.

Ujanielewa
Chemical energy >> heat energy>>mechanical energy

Hapa na chosema
Electrical energy+ motion energy>>electrical energy
 
Nilijua utabisha nenda youtube ukaone hizo project uje kurudia tea kueleza.ndio maana kuna kitu project kama sio biashara ni kama serekali isiwe na kodi
Kwa kiingereza naandikaje mkuu maana nataka nije nifanyie kazi huu ujuzi
 
Back
Top Bottom