Kwanini Tanzania inakwamisha EAC?

Watawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania
Watawala na viongozi ndio hufanya maamuzi, hili la kudai kuwa watawala wanawalaghai wananchi halina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…