Umeuliza jambo nyeti sana....ukizingatia ukanda huu ni wa utaliii, KQ na mashirika mengine wanachukua nafasi yetu na kuwanufaisha sana tena sana.
wataalamu tunao, uwezo tunao, na wezi tunao, Vilevile Serikali ya CCM iliuwa ATC,kwa mfano viongozi walikuwa wanapandisha mpaka mademu wao bure kwenda sehemu mbalimbali enzi hizo za boeing 737 serengeti na kilimanjaro.
Inauma aisee,inauma asikuambie mtu.Daaah Rest in Peace Five Hotel....