JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,392
Air Tanzania,Viwanda,Vyama vya ushirika na Hotel zilizoendeshwa na Serikali zilihujumiwa na wananchi wenyewe na ndio chanzo cha serikali kuweka mkakati wa ubinafsishaji(japo ulikuja na changamoto),bado baadhi watanzania wanaendeleza ulafi.Kuna kipindi Hayati JKN alienda S.A miaka flani hivi akiwa airport aliiona Air Tanzania katikati ya Ndege kubwa za mataifa mengine ulimwenguni akasema masikini kashirika ketu(ATC) wakubwa wanataka kukamaliza!..