Kwanini Tanzania bidhaa nyingi hazibandikwi bei?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
865
535
Ndugu wana JF. Salamu.

Kwenye nchi kadhaa nilizosafiri nimeona madukani/masokoni bidhaa zote zimebandikwa bei.

Hapa nchini kwetu hali ni kinyume. Duka moja lakini watu tunauziwa bidhaa moja kwa bei tofauti.

Maswali:
1. Huu ni uzembe wa maafisa biashara?
2. Sera mbovu ya biashara nchini?
3. Wafanyabiashara wameruhusiwa kuwaibia wananchi?

Naomba wenye weledi watujuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wanaona ni gharama nyingine kununua price gun



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huku madalali ndio wanatafuta wateja,
Bidhaa pia inauzwa kwa bei ya dalali,hivyo ukiandika bei madalali watashindwa kufanya kazi yao.
Ukiwa na brand inayojulikana hauhitaji madalali hivyo utauza kwa bei husika hapo ruhusa kuandika bei
 
Back
Top Bottom