skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,376
- Thread starter
- #21
Ni kweli kabisa wanamuona mama bado ni makamu na sasa amekaimu tu!! Kosa kubwa la mama sijui ni hajui au ni anafanya kusudi ni kuendelea kuacha virusi vya jpm viendelee kuhudumu katika nafasi mbali mbali bila kujua kuwa vipo kwenye mpango wa kukwamisha kila juhudi za mama kwa kifupi bado tuna kazi ngumu na kubwa,,. Dawa pekee ni katiba mpya iliyo Bora isiandikwe kwa mapenzi iandikwe kwa uhitajiHao wanaopinga ndio wametufikisha hapa, waliaminishwa na jpm kuwa nchi inaweza kwenda kwa kuwaona waliokuzidi ni maadui wako, unafikiria hata mafuta ya kula tatizo lilianzia pale alipopiga marufuku uingizaji wa mafuta ghafi kwa kuweka kodi ya juu sana kikichotokea hadi leo ni kilio!!yeye mama aruhusu tu bidhaa zenye upungufu nchini ziingie tu ili hata kwa mlaji kuwe na unafuu!!tatizo la wafuasi wa awamu ya tano, bado wanafirikia mama amemshikia tu jamaa atarudi.hivyo zile sera zake za hovyo ziendelee kukumbatiwa.