Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,961
Inawezekana uko sahihi kaka.. Nifundishe nitongoze vipi mkuu!inawezekana una swagger za kishamba alafu unataka watoto wa mjini, ndio wale mnatongoza kwa kusema nataka uwe mchumba wangu nikuoe.
Kaka siendi kwa high class wala nini, ni hawa hawa wa mtaani wanaoliwa na washamba.. ila mimi nabaniwaTafuta mtu mnayrfanana, pengine unaenda kwa high class. Mm nawabadilisha nitakavyo nina 40yrs. Kama huna hela boss kila mwanamke shemejiyo. Mi hadi 18 yrs nakula
Ninazo!Tafuta pesa
Nipe ushauri kaka!Mtamba wa panya badilika uwe mtamba wa mademu!
Hahahah swaga chakavu za kikolomije 😂😂😂!inawezekana una swagger za kishamba alafu unataka watoto wa mjini, ndio wale mnatongoza kwa kusema nataka uwe mchumba wangu nikuoe.
Navaa kawaida tu!Kuvaa unajua lakini? Au still unavaa midosho ya supra😁 na mnyonyo mweupe kama Diamond wa nenda kamwambie..
Mara nyingi wanakuwa na watu wao kweli.kwa hiyo we ukiambiwa nina mtu tayari unapotezea? tatizo linaanziaga hapo, ke unapomtangoza wengi hua na majib ya kukatisha tamaa ili ajue ka upo serious au lah, sa ka wewe ndo ukiambiwa hivo tu unaghairi mpaka utajihisi unagundu.
TayariKapime ukimwi kwanza?
Supra😆😆😆😆Kuvaa unajua lakini? Au still unavaa midosho ya supra😁 na mnyonyo mweupe kama Diamond wa nenda kamwambie..
Wenzako wanawaiba kutoka kwa watu wao. Unafeli sana bwanaMara nyingi wanakuwa na watu wao kweli.
We jamaa itakua unafeli pahala, kwa hiyo utapata wapi asie na mtu? hao unaonunua ni wapeke ako?Mara nyingi wanakuwa na watu wao kweli.
Ukiwa na hela watajitongozeshaInawezekana uko sahihi kaka.. Nifundishe nitongoze vipi mkuu!