wanatoa matoleo mengi wakati hawana uwezo wa kuyahudumia yote. wamuige motorola kuanzia moto e, g hadi x zinapata updates
Update means improvement kwenye previous version. Sio kwamba hawana uwezo suala ni product zilizokuwa sokoni zinauwezo wa kusupport that updates? Mf wa kuelewesha.
Window7 ina run kwenye mashine yenye ram 512 lakin update take ambayo ipo katika new version window 8 haiwez ku run kwenye machine kama hizo.
Ukija kwenye android au iOS vilevile kuna vitu vingi vya kuconsider. Na ndio sababu makampuni yanatoa hizo update kwa aina za simu/tablet zinazoweza kusupoti

Kumbuka kwenye hizi currently version za android sifa mojawapo ni kuwa hizi version zita-run hata kwenye simu zenye specs ndogo, tatizo ni kama alivyosema Chief-Mkwawa makampuni mengi wanatengeneza brand nyingi kiasi wanashindwa kuzihudumia brand nyingine na kuzihudumia zile wanazoona zina masilahi makubwa kwao, chukulia Samsung alivyo na brand nyingi halafu kila brand aweke GUI ya touch wiz na kuitolea update, hapa nadhani itachukua miaka ili kila simu ipate version mpya halafu kumbuka Google naye hatakuwa kasimama huenda akawa ametoa tena version mpya ya androidUpdate means improvement kwenye previous version. Sio kwamba hawana uwezo suala ni product zilizokuwa sokoni zinauwezo wa kusupport that updates?
Mfano wa kuelewesha. Window7 ina run kwenye mashine yenye ram 512 lakin update take ambayo ipo katika new version window 8 haiwez ku run kwenye machine kama hizo.
Ukija kwenye android au iOS vilevile kuna vitu vingi vya kuconsider. Na ndio sababu makampuni yanatoa hizo update kwa aina za simu/tablet zinazoweza kusupoti.