Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Sielewagi kwann hawa jamaa huwa hawaweki Radio kwenye simu zao hasa S series na NOTE series ukiacha zile za nyuma sana na hizi S10 na S10 × Ambazo zina radio Hence Radio yake huku kwetu inweza leta interfearence na watumiaji wengine wa Masafa maana hawapo kwenye Band range ya FM ya nchini kwetu ya 87.5 hadi 108
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Siyakudumisa Nkosi Yezulu