Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Nakuunga mkono kwa hili mkuuWengi wao wanapenda sifa
Kuna wakati hicho kigezo cha umbali hakipoKwasababu koo nyingi zinaishi mbali, na yule aliye karibu( jirani yako) ndio msaada wa kwanza kwa jambo lolote. Wahenga walisha sema fimbo ya mbali haiui nyoka; na kuna kitabu kinasema mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.
Sio kweli, kama kupenda sifa hata ndugu wanaweza wakakupa sifaWengi wao wanapenda sifa
Mkuu namba tano umegonga Ikulu mimi yashanipata hayo,kuna Kaka yangu wa damu kabisa ananifanyia mambo machafu sana alafu nishamsaidia sana.Ndugu nuksi mkuu hawafai.bahat nzur nshakua muhanga wa kusaidia ndg...
1.wanakatisha tamaa mno maana unaeza jinyima kwa ajili yao lakin wao hawajal wanaona kua ilikua n haki yao kusaidiwa
2. weng n wavivu, au anafanya kitu kivivu vivu cuz anajua n cha ndg yake....
3.wanadharau and sometyms hua hawaapreciate ulichowasaidia
4. wana maneno mno hasa unapojarib kumwelekeza.....
5. anaeza kukukosanisha na uko mzima na kufanya wengine waone ww n mbaya kwa sabab ya maneno yao
mm nshanawa mikono
Matokeo yake watakusema "huyu nae anajidai na vipesa vyake" ni hawabebeki hawaridhiki na wanadharau pia hawana shukrani.Sio kweli, kama kupenda sifa hata ndugu wanaweza wakakupa sifa
Hiyo namba 5 inanihusu sana, unaweza ukawa ulikuwa unamsaidia ndugu yako vizuri tu, lakini ikitokea siku mkapishana kauli baaaasi utakorofishana ndugu kibao, na bahati mbaya huyo ndugu awe ni wa upande wa ndugu yake baba/Mama,ugomvi wenu hufika mbali sanabahat nzur nshakua muhanga wa kusaidia ndg...
1.wanakatisha tamaa mno maana unaeza jinyima kwa ajili yao lakin wao hawajal wanaona kua ilikua n haki yao kusaidiwa
2. weng n wavivu, au anafanya kitu kivivu vivu cuz anajua n cha ndg yake....
3.wanadharau and sometyms hua hawaapreciate ulichowasaidia
4. wana maneno mno hasa unapojarib kumwelekeza.....
5. anaeza kukukosanisha na uko mzima na kufanya wengine waone ww n mbaya kwa sabab ya maneno yao
mm nshanawa mikono
sio rahisi kusifiwa sana na ndugu kama mtu baki atakavyokusifia kwa sifa kede kede na kukupamba! Pia ndugu kutosaidiana kunachangiwa na malezi ya mtu na nduguze, mahusiano na mtu aina gani mtu kayaingia! hapa bongo baadhi ya watu wa jamii flani wana utamaduni wa kusaidiana wakati wengine wanajitahidi flani atoke ili aabudiwe na watu jamii yake(hawa ndio haswaa hupenda kusaidia watu baki)Sio kweli, kama kupenda sifa hata ndugu wanaweza wakakupa sifa
Mkuu namba tano umegonga Ikulu mimi yashanipata hayo,kuna Kaka yangu wa damu kabisa ananifanyia mambo machafu sana alafu nishamsaidia sana.Ndugu nuksi mkuu hawafai.
Mkuu unanipa machungu,mambo ya ndugu siyataki kuyasikia kabisa.Mmoja huyo alikuja anashida hajiwezi....nikajibana bana nikamkopesha mtaji alivofanikiwa akawa ananidharau na kejel juu.. et kwanza unanidai tsh ngap nkupe hela yako???