Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,948
- 142,065
Kiukweli mtu kujitambulisha kwa PhD ya kupewa kwenye sahani namuona kama ana changamoto kichwani.Hizo dkt. hua ni za kisiasa tuu na sio nondo kichwani so sijaona umuhimu wa kuitwa hvy.
Kitaru cha Loliondo aliuza kwa Waarabu Siku ya Wajinga Duniani 1st April foolKwa kifupi sana
Mzee Mwinyi katika Maisha yake hajawahi kukopa
Udaktari wa Heshima ni Sawa tu na mkopo 😂
Marehemu MWINYI hakutaka MAKUU kama hawe wengineNafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Hayati Mwinyi na hao wenzake wawili uliowataja hawakuwa na "njaa" ya "kutofautishwa". Sijaamanisha pia kwamba wengine wana hiyo njaa!Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Ungeanza kwa kuuliza hiyo trend ya kugawa udaktari wa heshima kama njugu ulianzaje, na kwanini media hatimaye zilishindwa kutofautisha kati ya udaktari wa kusomea na udaktari wa heshima, na udaktari wa kusomea vyuo halisi aka brick and mortar institutions na udaktari wa mitandaoni..Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Udokta zama hizi ni dili sana!Hayati Mwinyi na hao wenzake wawili uliowataja hawakuwa na "njaa" ya "kutofautishwa". Sijaamanisha pia kwamba wengine Wana hiyo njaa!
Sasa hivi Dr ni swala la kisiasa na uchawa, leo nimesikia hata shekh mkuu wa bakwata akiitwa Dr sijui kasoma lini na wapiNafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Huh!!! Seriously??Sasa hivi Dr ni swala la kisiasa na uchawa, leo nimesikia hata shekh mkuu wa bakwata akiitwa Dr sijui kasoma lini na wapi
Hili limeanza wakati wa Kikwete. Kuanzia kipindi chake ndipo ''madaktari'' walipoanza kumea kama uyoga. Nyerere alikuwa hana huu ujinga. Mwinyi na Mkapa pia.Kiukweli mtu kujitambulisha kwa PhD ya kupewa kwenye sahani namuona kama ana changamoto kichwani.
KweliHuh!!! Seriously??
Hasa kwa wale wasioustahiki/wasiokuwa nao kihalali.Udokta zama hizi ni dili sana!
hao walielewa taratibu za Vyuo VikuuNafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
👍Ifike muda udakitar mtu ausomee siyo kupewa kama njugu