Tofauti ni kubwa sana, kwanza walimu shule binafisi wapo wa kutosha kwani wanalipwa vzr ,wakati serikalini unakuta shule ina walimu 3 f1-1v wengi wao wanakimbilia Privt. Pia privt wanamchujo unaowasukuma wanafunzi kusoma kwa bidii kuogopa kuchujwa. Uhuru mkubwa sana wanafunzi wa shule za serikali wa kuzurura bila kujisomea.
Majibu yako kibao, wale wa Government wanaswagwa tu bora wamalize ila private dent lazima a-toil kuvuka kwenda stage nyingine,walimu wazuri,maktaba,vitab maabara,viwanja vya michezo nk
Majibu yako kibao, wale wa Government wanaswagwa tu bora wamalize ila private dent lazima a-toil kuvuka kwenda stage nyingine,walimu wazuri,maktaba,vitab maabara,viwanja vya michezo nk
We umesoma ipi kati ya hizo?mi nakuambia coz i've been through both katika elimu yangu, nakuelewesha naona huelewi au ulitaka nikuambie sababu ni UCHAWI?
Shule nyingi za private hua wanachukua cream tu kwa style yao ya kuwafanyia interview wanafunzi wapya hasa wa form one. Tena ni lazima mwanafunzi apate points za kutosha ili aweze kuwa accepted. Huko vijijini kuna wanafunzi wazuri tu waliomaliza shule za msingi na wasipokuwa na uwezo wa kusafiri kwenda kufanya interview kwenye shule hizi za private, wao huishia kwenda kwenye shule za kata na ndo hapo matatizo yanaponaza... Upungufu wa walimu hasa wa hesabu na science, vitabu, maabara n.k. Unategema nini kama shule haina mwalimu wa hesabu au science halafu anapewa mtihani wa kidato cha nne afanye! Kikubwa sana ninachoona pia kwenye shule za privateni DISCIPLINE.