kwanini shule za private wanafaulu sana?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
shule za private wanafaulu sana kuliko shule za serikari?wakati vifaa,walimu na vatabu wanavyotumia ni vya haina moja?
 
jibu mbona rahisi...

walimu wazuri. kuna vitabu na vitu vyote muhimu vinayohitajika .. kama maktaba etcl....

mishahara ya walimu mizuri ukilinganisha na mishahara wanayotoa serikali....

sabubu nyingi saaana!...
 
Tofauti ni kubwa sana, kwanza walimu shule binafisi wapo wa kutosha kwani wanalipwa vzr ,wakati serikalini unakuta shule ina walimu 3 f1-1v wengi wao wanakimbilia Privt. Pia privt wanamchujo unaowasukuma wanafunzi kusoma kwa bidii kuogopa kuchujwa. Uhuru mkubwa sana wanafunzi wa shule za serikali wa kuzurura bila kujisomea.
 
Majibu yako kibao, wale wa Government wanaswagwa tu bora wamalize ila private dent lazima a-toil kuvuka kwenda stage nyingine,walimu wazuri,maktaba,vitab maabara,viwanja vya michezo nk
 
Majibu yako kibao, wale wa Government wanaswagwa tu bora wamalize ila private dent lazima a-toil kuvuka kwenda stage nyingine,walimu wazuri,maktaba,vitab maabara,viwanja vya michezo nk
kwann na shule za serikari zisifanye ivyo?
 
kwann na shule za serikari zisifanye ivyo?

We umesoma ipi kati ya hizo?mi nakuambia coz i've been through both katika elimu yangu, nakuelewesha naona huelewi au ulitaka nikuambie sababu ni UCHAWI?
 
Shule za Private atleast walimu wanalipwa vizuri, wengine wanapewa nyumba za kuishi, lkn za Gov duh michosho tuuu
 
Mbona han wanaofaulu huko private 2kikutana nao vyuon,unakuta hawana lolote!me bado naamin gvt schools zko poa sana,ni suala la mwanafunzi mwenyewe kujitambua 2.
 
Kaka nimenote spoon feeding katika shule za private!wakienda chuo hoi!
Mbona han wanaofaulu huko private 2kikutana nao vyuon,unakuta hawana lolote!me bado naamin gvt schools zko poa sana,ni suala la mwanafunzi mwenyewe kujitambua 2.
<br />
<br />
 
Si kweli. Your statement is not true. Which type of schools, Islamic, Catholic , Anglikan, Individual ? specify
<br /> <br / dah mkubwa,.nini maana ya private institutions?. Au unataka kusema islamic owned sio private?
 
shule za private wanafaulu sana kuliko shule za serikari?wakati vifaa,walimu na vatabu wanavyotumia ni vya haina moja?

Shule nyingi za private hua wanachukua cream tu kwa style yao ya kuwafanyia interview wanafunzi wapya hasa wa form one. Tena ni lazima mwanafunzi apate points za kutosha ili aweze kuwa accepted. Huko vijijini kuna wanafunzi wazuri tu waliomaliza shule za msingi na wasipokuwa na uwezo wa kusafiri kwenda kufanya interview kwenye shule hizi za private, wao huishia kwenda kwenye shule za kata na ndo hapo matatizo yanaponaza... Upungufu wa walimu hasa wa hesabu na science, vitabu, maabara n.k. Unategema nini kama shule haina mwalimu wa hesabu au science halafu anapewa mtihani wa kidato cha nne afanye! Kikubwa sana ninachoona pia kwenye shule za privateni DISCIPLINE.
 
Back
Top Bottom