Shida ya shetani ni kuhakikisha ulimwengu wote unamsujudu yeye. Mwanadamu Kiumbe aliyependwa sana na Mwenyezi Mungu wakati wa uumbaji atahakikisha anamteketeza na anakuwa wa kwake.. Shetani Hataki apate hukumu peke bali yeye pamoja na wanadamu wote.Sasa Kwanini wengi huua kwa kutumia nguvu za shetani?????
Kazi kuu ya Shetani niSasa Kwanini wengi huua kwa kutumia nguvu za shetani?????
Naomba mstariKwenye kitabu cha yakobo alinyimwa asiguse roho ya mtu!!
SHETANI hafurahii kabisa Familia, Ukoo ama nchi ikiwa na amani, Yeye kazi yake ni kuleta mifarakano kati yenu ili yeye apate kufurahia utukufu wake - nia ni kuona Dunia nzima inakuwa cya hini himaya ya kishetani.Je, ni kweli watu wengine wanauliwa kwa manufaa ya mfano Taifa?????
Bado hapo ni shetani.
Je, anayefanya hivyo hana dhambi eti kutokana na nafasi aliyonayo????
hapo tuliulize kafungwa ila anatuma nguvu zake toka KUZIMU hadi Duniani na zinatenda kazi, Je akiwa HURU itakuwaje??Anaogopa kuuwa kwa sababu amefungwa jela akitoka ataanza kuuwa Ova
Akiwa huru atakutana na Bashitehapo tuliulize kafungwa ila anatuma nguvu zake toka KUZIMU hadi Duniani na zinatenda kazi, Je akiwa HURU itakuwaje??
Sawa, Pointi yangu ni kuwa alikuwa among the leaders wa Mbinguni akimsaidia Mwenyezi Mungu kwa ukaribu - kwa mantiki hiyo anajua baadhi ya SIRI za uumbaji na ndiye aliyewafundisha wanadamu kuzitengeneza na kuziumia nguvu hizo (Tunaita nguvu za giza) ambazo ndizo wanadamu wanazitumia kuuana ama kutesana wao kwa wao huku yeye akichekelea.Kabla cjamaliza kusoma uzi wako maomba nikurekebishe kidogo. Kwamba shetani hakuwa malaika bali alikuwa katika malaika ila na yeye alikua na umbile lake tofauti kabisa na malaika.
Alikuwa na umbile gani? Na kwanini yeye alikuwa na hilo umbile tofauti na wengine?Kabla cjamaliza kusoma uzi wako maomba nikurekebishe kidogo. Kwamba shetani hakuwa malaika bali alikuwa katika malaika ila na yeye alikua na umbile lake tofauti kabisa na malaika.
mi kama nimekuelewa tofauti!!!yaani ni kama unamzungumzia mtu flani...
SHETANI ni kiumbe ambaye alikuwa Malaika na akiishi Mbinguni siku zile kabla hajaFanya uasi. Mwenyezi Mungu alimpenda na kumpatia nguvu na uwezo mwingi na kumfanya Malaika Pendwa huko mbinguni.
Baada ya UASI - Kujifanya yeye ni kama mwenyezi Mungu, Mungu alimpa adhabu ya KUMTUPA HAPA DUNIANI; ambapo ameungana nasi baada ya sisi wanadamu kutumbukia kwenye dhambi ya asili iliyosababishwa na udanganyifu wake kwetu.
SHETANI hayupo huru bado yupo kifungoni KUZIMU na amefungwa miaka 6666; ingawa yupo kule na timu yake bado amekuwa kinara wa maovu mengi hapa duniani, bado anashindana na uwezo wa Mwenyezi MUNGU na ubishi uliopo ni kwamba atahakikisha sisi wanadamu tunaacha kumwabudu Mwenyezi Mungu na tumwabudu yeye pekee yake.
SHETANI anataka kutuaminisha kwamba NGUVU ZAKE ni kali na zinatenda au kutoa majibu mubashara kwa wale watakaotaka kutumia kuringanisha na zile za MWENYEZI MUNGU ambazo unaweza kuomba ukazisubiri hadi ukazeeka na usizipate.
Lakini pamoja na hayo yote SHETANI ni Muoga mno wa kutoa ROHO YA MWANADAMU - Je umewahi kujiuliza ni kwa nini??? Fanya utafiti huo kwa kina.
Lakini cha ajabu MWANADAMU yeye haogopi kutoa roho ya mwanadamu mwenzake, iwe kwa maslahi yake au ya watu wengine, yawe ya kidini ama ya kisiasa lakini HAOGOPI kumuua mwanadamu mwenzake.
Mwanadamu hajajifunza kwa nini SHETANI ambaye pamoja na kuzijua baadhi ya SIRI ZA UUMBAJI WA MBINGU na DUNIA kwa nini abakie kuwa muoga mno wa kutoa UHAI WA MWANADAMU ? (Kumwaga damu ya Mwaandamu)
EEE MWANADAMU ULIYEZALIWA NA MWANAMKE - ACHA KABISA ACHA KABISA KUUA BINADAMU WENZAKO - ADHABU YAKE JUU YAKO WEWE NA KIZAZI CHAKO HADI CHA TATU NA NNE.
(Ujumbe mubashara kwa wauaji wote - acheni mara moja)
Tunaamini KIZAZI cha WAUAJI ni kizazi cha KAINI ambacho kililaaniwa milele baada ya MAUAJI ya Nduguye Abel.