Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Kweli kabisa.

 
A

Sababu hamna maelezo ya kisayansi kuhusu uwepo wa Mungu.
Hili swali sio kwa wanasayansi tu, hata baadhi ya wasomi huumiza kichwa uwepo wa Mungu.

Nakupongeza kwa jibu zuri. Mungu yupo ni Mtakatifu wa Watakàtifu Muumba mbingu na dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana. Binadamu tumeumbwa nae na kwa mfano wake. Yeye ni mwanzo na mwisho wa kila kitu. Atawahukumu wazima na wafu na ufalme wake hauna mwisho.

Swali kwa mtoa mada. Hivi sisimizi anajua uwepo wa binadamu na shughuli zake?

Kama hajui lakini wote si viumbe?

Je , mtoto mchanga tumboni mwa mama yake anajua dunia ilivyo kabla ya kuzaliwa na kukua?? Halikadhalika mtoa mada hajitambui na sayansi yake. Elimu juu ya Mungu ni kubwa isivyoelezeka!! Nikubwa kuliko Elimu ya ubongo wake na mwili wako mzima. Kutaka kujua uwepo wa Mungu kutumia sayansi haiwezikani kwa sababu sayansi nikama tone moja la Maji katika Bahari ya Hindi. Kwa lugha nyepesi ni kusema kwamba Elimu ya sayansi ni ndogo haiwezi ku prove uwepo wa Mungu. Ila Elimu ya Mungu kujifunza Uwepo wake ni rahisi kuelewa uwepo wake.Nenda kwenye Kanisa linalomhubiri Mungu au Jengo la ibada ya Mungu wa kweli utafundishwa na utaelewa uwepo wa Mungu. Watu wengi wabishi kama wewe wamebadilika sembuse wewe!?? Fungua Moyo wako na wewe utafunuliwa mengi usiyoyajua na sayansi yako. Msifuni Bwana viumbe vyote kwa maana amefanya mambo ya ajabu. Amen.
 
Is it possible "something from nothing"?. Hii nayo si ni nadharia? Naomba Maelezo yako mkuu.
Yes, with a qualifier: It is possible to get matter (something) from pure energy (non-matter or "nothing"). Scientifically proven na sio nadharia tena.
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi kama hadi keo hujaona jua bangi uliyovuta ni ya kichina
 

Mungu hathibitishiki. Sayansi haikubali vitu visivyothibittishika.
 
Ili tukuamini je wewe una akili
 
Is it possible "something from nothing"?. Hii nayo si ni nadharia? Naomba Maelezo yako mkuu.
Hiyo inawezekana hata huyo mungu alicreate someting from nothing!!
 
Dini ni imani hats huyu jamaa yetu nae ana dini ndio maana imani yeke haimtambui uwepo was mungu ila hajijui ili tumuone yupo sahihi wazuie vifo ndipo tutawaamini lasivyo wanaporojo tu
 
Kama Mungu hayupo kwanini tunakufa,kwanini tulizaliwa?sisi Ni mifano ya nani??
 
Quran is science itself...
 
Tatizo watu hawana imani na wanakimbilia kudai hakuna Mungu
 
Quran is science itself...
Wewe umegundua nini kupitia hiyo Quran?. Kwenye hizi zama acha kuchanganya dini na sayansi. Usiwe unapenda vitu kuhadithiwa na kukubali tu bila hata kupitia kwa undani. Wenzako wako wanaangaika na matafiti na ndio wanagundua vitu wewe bado upo kwenye Giza LA kuamini mafundisho ya dini ndo sayansi.
 
wanasansi mnajisahau sana ndiyo maana mara mnatuambia kuna sayari kubwa inakarbia dunia, mbona hamjiulizi kwanini dunia na ulimwengu vipo tokea miaka yote na vimetokana na nini? nadhani sisi binadamu tunapita tu tena miaka michache tu 0 -70 wakati dunia iko miaka kibao iliyopita. maarifa uliyoko nayo yanayokufanya usiamini Mungu ni 0.0001.005 ya kuhusu ulimwengu.
 
Nitafute nikupe darasa...usiishi kwa kukariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…