permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,089
- 11,326
Mkuu kuna botanical names za wanyama?Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapo taja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli uwa yana sound vizuri sana.
Kama nawewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Wanafanya kusudi tu.Na utani ndani yake.Sasa unajua "magucreture jiwenita dicterius uchwarias" ni nini?HahahahahaaaMkuu kuna botanical names za wanyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Indira MandikaKwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapo taja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli uwa yana sound vizuri sana.
Kama nawewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
HahahaHahahahahaaa! Ilipaswa ianze na "magucreture jiwenita dictatis uchwarias"
Carica papaya.... PapaiHivi ni Canica papaya au Calica papaya au sio scientic name ya papai hyo?
Tupe na scientific name ya Tp mazembe Engrebe.