Kwanini sasa lakini

Shida iko hapa
Kibabu kinaweza oa binti na jamii ikaona sawa tuu. Ila kibibi kikiolewa na marioo kelele mtaa mzima
Ama kweli kunya anye kuku.. Akinya bata kaharisha🀣
Sas sisi tumeliona hili tutafanya vep kumaliza utata wa upande mmoja wako sahihi na sio kote
 
1. Watu wazimq hawana mechi ngumu, kwanza ile mkikutana wote mna hamu… ila hizi gurubembe za 2000 romance nusu saa bado mkavu

2. Watu wazima % kubwa hawana uongo uongo wa kuongeza 0 na kujifanya wana ela..

3. Adabu ya mahusiano, kelele chache za kujenga
 
Hiki ndicho kijana au mwanaume anataka sasa hawa 2000 changamoto sana
Mko room analeta tamthilia ww
Unataka ingine naye analeta ingine
 
Pumzika ulee wajukuu we mzee, Mada zisizo na kichwa wala miguu unaandika sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…