Kwanini sasa lakini

Kuna imani iko hivi
Kwa kijana wakike anaimani pesa
Anapata kwa vibabu

Kijana wakiume anaamini pesa
anapata ila kuu kwa wakiume
Anatambua wa umri wamwenza
Mkubwa anaelewa nn mwanaume
Anataka hawaataki kusumbuka
Au kujenga msingi .
 
Kuna imani iko hivi
Kwa kijana wakike anaimani pesa
Anapata kwa vibabu

Kijana wakiume anaamini pesa
anapata ila kuu kwa wakiume
Anatambua wa umri wamwenza
Mkubwa anaelewa nn mwanaume
Anataka hawaataki kusumbuka
Au kujenga msingi .
Shida iko hapa
Kibabu kinaweza oa binti na jamii ikaona sawa tuu. Ila kibibi kikiolewa na marioo kelele mtaa mzima
Ama kweli kunya anye kuku.. Akinya bata kaharisha🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…