Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

Halafu ulaya Etoo anaheshima kubwa kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kutokea Africa ametamba sanaaaaaa
unamjua George Weah ? Bruce Grobbelaar Je ?
Na tukiongelea African born Players.., Eusebio, Viera, Marcel Desailly n.k. to name just a few....., Mkuu kusifika Europe ni kwa uliyoyafanya Europe na Africa being a continent hata kina Lucas Ladebe na Tony Yeboah ni Household Names....
 
Ulimwengu wa soka unamtambua vyema kabisa. Si Africa pekee bali hata Ulaya wanaelewa shughuli yake.
 
Uko Sahihi Mkuu. Hasa hapo kwenye akili timamu.
 

Mkuu hawa ni watu wa ajabu kabisa, ila usishangae sana most of them ni wameanza tizama football in last 15 years.
 
Ok uko sawa endelea kuamini unachoamini which is against the reality. Dawa ya mpumbavu ni kumuignore.

naona bado unareply msg. Hujalazimishwa kuamini ninachokiamini mimi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…