Kwanini Samia anaondoa vigogo wote wa juu🧕🤦🏾‍♂️

No HAO wameondoka wenyewe Dr mpango kama unakumbuka KIPIND cha magu afya yake HAIKUA SAWA kupona ILIKUA ni majaliwa hivo SIONI kama ana hamu na miahemishe TENA mama anajiweza atapanga WATU wapya na AMIN taifa haliwezi yumba
 
Wanao mshauri wanataka YY awe w mwisho kuondolewa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa

Makaumu wa Raisi Mpango
Waziri Mkuu Majaliwa
Spika Ndugai
Huu ni mtego ambao hakuna atakayeutegua mpaka uchaguzi unapita..

Kifupi hii ni game inayochezwa na ccm wenyewe kututoa kwenye reli..
 
Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa

Makaumu wa Raisi Mpango
Waziri Mkuu Majaliwa
Spika Ndugai
Huu ni mtego ambao hakuna atakayeutegua mpaka uchaguzi unapita..

Kifupi hii ni game inayochezwa na ccm wenyewe kututoa kwenye reli..
 
No HAO wameondoka wenyewe Dr mpango kama unakumbuka KIPIND cha magu afya yake HAIKUA SAWA kupona ILIKUA ni majaliwa hivo SIONI kama ana hamu na miahemishe TENA mama anajiweza atapanga WATU wapya na AMIN taifa haliwezi yumba
Huo ni mtazamo wako... LAKINI za ndani na ushahidi wa kimazingira ni kuwa wameondoshwa kwenye nafasi zao.
Ghafla bin vuu ety Bashite ni waziri
 
Penginepo wamekuwa wavivu wakusifia 😀😀ss wanaletwa kina mwijaku na baba levo Kwenye hzo nafasii za hao maana CCM akili zao wanazijua wenyewee....
 
Back
Top Bottom