inawezekanaje mtu haujui jina lake, anaishi wapi, anafanya nini lakini ukajua ana roho mbaya? Humu JF soma, changia chukua ya kukufaidisha endelea na maisha yako. ukianza kuona watu nyuma ya keboard wana roho mbaya wale unaokutana nao kila siku si utawaweka kwenye kundi moja na shetani?