Sio mbaya akifanya hivyo, kumbuka udsm ni chuo kongwe hivyo kimetoa wataalamu wengi zaidi kuliko vyuo vingne kwa level ya phd. Udom imeanza kutoa phd nadhani 2010+ kwa level ya phd.Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Kuna Chuo gani zaidi ya UDSMSio mbaya akifanya hivyo, kumbuka udsm ni chuo kongwe hivyo kimetoa wataalamu wengi zaidi kuliko vyuo vingne kwa level ya phd. Udom imeanza kutoa phd nadhani 2010+ kwa level ya phd.
Yani kweli akili yako imefikia hapo?Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
hivi ni product za hii hii udsm zilizotufikisha hapa tulipo au kuna udsm nyingine.?Hicho ndio chuo kikuu cha Taifa,vingine ni vyuo vya serikali sasa kulijenga Taifa lazma uwatumie wana chuo.wa Taifa
UDSM ni zaidi ya chuo, ndio engine ya Tanzania bahati mbaya mfumuko wa vyuo nchini unalifanya hili lisionekane. Kiukweli pale it's a Home of intellectuals sasa sijui angeenda wapi zaidi ya UD kuwapata hao intellectuals .
UDSM NDIO CHUO KIKUU NA KINA VICHWA BALAA..HUWEZI KUKIFANANISHA NA CHOCHOTE HAPA TZ HATA EAST AFRICA
Dah nmecheka sana mkuuWe unataka TANESCO ichukue na SUA tuliosoma kupima viuno vya miti na mambo ya faru john, haiwezekani
Kumbe tunaangalia alama!!! No wonder tupo hapa tulipo.Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Alama ni miongon mwa kipimo cha uelewa wa mtu mkuuKumbe tunaangalia alama!!! No wonder tupo hapa tulipo.
Jamani sio UDSM peke yake hata SUA. Naelewa Mh. Rais ana nia nzuri sana kwa kuwa tukubali tusikubali wenzetu hawa waliosoma PhD uelewa wao huwa ni wa juu. Si rahisi kama mtu hana uelewa wa juu kusoma PhD. hivyo Mkuu anaona kuwa ni rahisi kufanya nao kazi.Lakini ni ukewli usipingika kuwa Vyuo navyo vitakosa Wahadhiri waliobobea, wenye uzoefu. Niliongea na Prof. mmoja, Chuo sitakitaja ananiambia kuna wanaoteuleiwa kutoka Chuoni kwao wamebobea kisasi kwamba uili kumpata Prof. aliyebobea kama huyo aliyeteuliwa bais atoke university of nairobi au Zambia or so! Hivyo Mkuu awe makini katyika teuzi otherwise vijana wajao watakosa lecturers ( wenye ujuzi na uzoefu) wa kuwafundisha. Aidha pesa za kuwajengea uwezo wahadhiri zitengwe kwani imeonekana sasa umuhimu wao ( licha ya kutakiwa Vyuoni) wanatakiwa pia kwenye uongozi wa serekali!Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. Kwa awamu hii nadhani zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
Mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Fanya utafiti ndugu yangu kuhusu vyuo vingine ( esp. vya Private) vina matatizo kwa hao wahitimu wake. Kwanza kabisa ni Siri ya wazi kuwa UDSM pamoja na vyuo vya serekali hucukua Cream, nadhani hili unalielewa ukianzia hapo tu jawabu unaweza kulipata. Na Tanzania ingefanya utafiti wa wahitimu kutoka vyuo mbalimbali ili kusaidia hivyo vyuo vingine viweze kujiongeza! Kwani esp. hapo zamani wakati ajira ni kwa vimemo hivyo hata wahitimu wabovu waliweza pata ajira, walisumbua sana viongozi wa idara kwani waliletewa wafanyakazi ambao hata ukimwambia andika simple letter kujibu barua fulani hawezi!Binafsi nadhani tumeenda kidogo nje ya mada....
Nadhan mtoa mada alikuwa na swali lenye maslahi makubwa kwa chuo kikuu cha Udsm... Kwani no hatari sana kuondoa wasomi wengi kwa mkupuo!....
Natambua sana mchango was chuo kikuu cha Dar es Salaam, lakini so lecturers wote wanaofundisha pale wamesomea pale, lakini pia sio kila zao la Udsm no zao jema ndio maana hata hao wanaotenguliwa pia no zao la Udsm kwa idadi kubwa!...
Hata humu pia kuna watu wanapochangia mada jnanifanya kusikia aibu kama kweli chuo kikuu mahiri kama Udsm kinaweza kutoa makapi kama hayo.....
Eti mtu anasema hata waajiri hawataki watu was vyuo vingine, hahahahahahaha! Kumbe kwa uelewa was huyu jamaa anadhani tatizo la ukosefu was ajira haliwahusu wale wanaotoka Udsm?!
Fikra finyu sana, bado naamini Udsm no chuo bora hata kama mtu kama huyu amemaliza chuo hicho....
Thinking ya msomi Nguli!Hivi SEKUCO, SJUT, SAUT, SUPUKA, UDOM, THE AMAZON, ST JOSEPH, n.k kuna wasomi huko?
kama wapo mbona wahitimu wao wako shallow, haajiriki na wanatengwa na waajiri?
acha mkuu achukue wabobezi toka chuo kongwe lenye sifa lukuki.
Ni kweli asilimia kubwa ya viongozi wamemalizia pale na wengi wao sasa ni mafisadi.Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Hivyo vichwa vimelifanyia nini taifa?UDSM NDIO CHUO KIKUU NA KINA VICHWA BALAA..HUWEZI KUKIFANANISHA NA CHOCHOTE HAPA TZ HATA EAST AFRICA
UDSM NDIO CHUO KIKUU NA KINA VICHWA BALAA..HUWEZI KUKIFANANISHA NA CHOCHOTE HAPA TZ HATA EAST AFRICA