Na nchi ndiyo iko hapa kwenye maendeleo!!!! Ina maana umaskini wa nchi ni zao la UDSM........Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Sema "A", Aa! Sema "be",be!Hiyo ni kazi ya mwl darasa La kwanza.Sasa Leo unasemaje "A" ni "ei"? Na " be" ni "bi"?!Yaani utadhani phd zinafanya kazi. Binafsi nafikiri raisi anatakiwa awe makini zaidi. Nina wasi wasi na teuzi zake.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya lecturer na administrator!We unataka TANESCO ichukue na SUA tuliosoma kupima viuno vya miti na mambo ya faru john, haiwezekani
Wangelalamika vikofia mngesema udini.Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Hizi ni hoja za kitoto sana!Tunapozungumzia mafanikio ya kampuni huwezi kuzungumzia PhD. Chukulia watu kama Bakhresa,Bill gate ambaye hakumaliza hats chuo kikuu,akina Dangote nk.Wewe unaongelea PhD INA msaada gani kwenye uchumi hats kama MTU ana GPA ya 5?Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
haohao we ye uelewa tutaskia kesho wametumbuliwa, yetu masikioNdio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
hujaeleweka!Wangelalamika vikofia mngesema udini.
Ndipo wamejaa classmatesKila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Na wanaotenguliwa pia ni xudsm hivyo hawana weledi na maadili ni majinias kula desa la kukopi na kupesti publications za wazungu waliopost google na kwenye archieves!Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale