Hiyo kitu inaniuzi sana ndo mana nimezikimbia though kuna fundinkaniambia zinarekebishika..
unafanya kitu kinaitwa kemba...... (sijui inaandikwaje kikoloni).......inakaa vizuri........
Ukiangalia vizuri.......karibia rav4 zote zipo hivyo........ni kitu kidogo sana hicho na kinarekebishika.........
Kweli na kubadilisha bush mara zinapokuwa zimechoka. Watu wengi hawafanyi full service ya gari zao halafu utasikia wanalalamika gari ni mbovu.Gari ni matunzo n matengenezo mimi ninatumia toka mwaka juzi napita rough road ambayo ni mbaya sana km 26 ikiwa na rasta gari haijapata matege.rav4 ni imara sana ukiona hivyo jua mwenye nayo hafanyi matengenezo
Ili uweze kufanya hivyo ni lazima uhakikishe bush zote ni nzimaUnafanya kitu kinaitwa kemba...... (sijui inaandikwaje kikoloni).......inakaa vizuri........
Ukiangalia vizuri.......karibia Rav4 zote zipo hivyo........ni kitu kidogo sana hicho na kinarekebishika.........
BMW kama ile ya Diamond.
Haya niambie hiyo inayonifaa.Ile sio nzuri wewe..najua gari inayokufaa mrembo kama wewe.
Haya niambie hiyo inayonifaa.
Unajiona mjaaanja eeh? Poleee.Kwani sasa unatumia gari gani vile? Nikumbushe basi
Ha ha mkuu mbona watumishi wengi Sana wanazo jmn? we unapenda GARI gani?
Hata bito pia old model ....sema tege lake tofauti na la Rav 4 lenyewe limegeukia kwa ndani
Jamaa harudi tena
hivi mtu unanunuaje HONDA CRV? daah kweli binadamu tumetofautiana haswaaa
hivi mtu unanunuaje HONDA CRV? daah kweli binadamu tumetofautiana haswaaa