Hiyo hali inaweza kutokea magari yote ikiwa utakuwa huna kawaida ya kukagua gari yako. Kumbuka kadri utumiavyo gari yako kwenye barabara zenye matuta au njia zenye mashimo wheel allignment nayo inabidi ifanyike mara kwa mara tofauti na yule anayetumia barabara ya lami pekee.
Ule mkito unaisha ni tatizo la bush za nyuma za diff ambapo rear driving shafts zinalink na diff. Ukirekebisha hiyo wala hutosikia tena huo mkito wakati wa transimition (kubadili gear)